mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 41,878
- 50,475
Ninavyomjua rais wetu atakuja kuuliza kwani wakati wa kampeni niliwaahidi njaa? Fanyeni kazi.acheni kulia lia njaa. Mnataka serikali iwalishe hakuna chakula cha bure, ardhi ya kijani mkalime.
Faru yeyeHaaahahhah Acha Kumpa Hasira Unajua Huwa Anapitia JF na Mitandao mingine... Anaweza Akaitisha Press ...
Ila Naye Kazidi
Njaa Yeye
Tetemeko Yeye
Ajira kusitishwa Yeye
Mishahara kutokupanda Yeye
Mizigo bandarini kupungua Yeye
Hela Mtaani Kupotea Yeye
Soon watakanusha.Wananchi wanashindia maembe.khaa
Mwandishi mungu anakuona.