Tishio la Mende Majumbani

Mworombo01

Senior Member
Nov 9, 2016
113
82
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.

*****************

Updates!

Aisee naomba niwape mrejesho wa mende walionisumbua hadi nikakosa amani. Baada ya maoni ya wadau nikajitosa Kariakoo nikakutana na dawa moja ya maji kwa ajili ya "famigesheni" inaitwa Lava.

Kiukweli baada ya kuja kupiga ile dawa ndani nimewazika mende wa kutosha sasa sina wasiwasi tena. Kitu kinaua hadi Mbu.

Asanteni sana wadau
 
Nilijua kwangu tu daa kumbe wengi , itakuwa wanatoka nje ngoja tusubili
 
Unaogopa mende mkuu? Ishi nao vizuri tu kwa nini muuane??😁😁(nakutania) kuna dawa fulani hivi iko kwenye vipakt vya kijani ila yenyewe ni ya ungaunga hivi inaweza kukusaidia. Ulisha wahi kuitumia nayo?
 
Unaogopa mende mkuu? Ishi nao vizuri tu kwa nini muuane??(nakutania) kuna dawa fulani hivi iko kwenye vipakt vya kijani ila yenyewe ni ya ungaunga hivi inaweza kukusaidia. Ulisha wahi kuitumia nayo?
Nishatumia hiyo mkuu naishia kukutana nao tu. Kama ukizima taa dakika mbili tu ukaweka mfano kitambaa cheupe kwenye kochi ukijawasha utadhani maua..dooo! Hatare tu.
 
Poleni sana ndugu zangu kwa matatizo ya mdudu mende na ndugu zake. Kuna dawa inaitwa FIPROFARM. Nawahakikishia, ukipiga hiyo ndani na nje ya nyumba yako. Hakuna mende atayethubutu kuja kuongea nawe tena hapo nyumbani. Dawa hiyo ikauzwa kwenye Maduka ya dawa za mifugo na kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaingezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakina amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.
Nilijua kwangu tu daa kumbe wengi , itakuwa wanatoka nje ngoja tusubili
 
Poleni sana ndugu zangu kwa matatizo ya mdudu mende na ndugu zake. Kuna dawa inaitwa FIPROFARM. Nawahakikishia, ukipiga hiyo ndani na nje ya nyumba yako. Hakuna mende atayethubutu kuja kuongea nawe tena hapo nyumbani. Dawa hiyo ikauzwa kwenye Maduka ya dawa za mifugo na kilimo.
Shukrani mkuu. Nitaitafuta.
 
Jitahidi ndani uiweke vyombo vichafu ikiwezekana usiku kabla ya kulala Dada aoshe vyombo.... Mende wakikosa mabaki ya chakula wanaama wenyewe.... Alafu ukiweza nenda kariakoo kama unaishi dar nunua dawa ya kuuwa mende mara nyingi ndiyo inayotumika kuoshea mbwa au ng'ombe, mimi uwa ninachukua kichupa kimoja Nina mix na maji ndoo ya liter 20 Nina imwaga kwenye makaro madogo linalotoka jikon, choon na bafuni Mida ya usiku ninapoenda kulala.. Asubuhi ninakutana na maiti za mende kama Mia juuu ya makaro...
 
Sawa mdau, hiyo dawa inaitwaje unayoochea makaro? Hilo la vyombo baada ya kugundua wanapigaga disco usiku nikapiga marufuku kulaza vyombo vichafu.

Dawa mi ntafulia kabisa kama sio kuoshea vyombo na kudekia. Hawa jamaa ni kero sana Mkuu
 
Habari wadau!

Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo unaweza hisi wametumwa. Viko vijimende vidogovidogo na mibaba yao yaani ndani hakuna amani tena.

Nimegundua siko peke yangu wengi tunapata shida hiyo.

Tafadhali msaada.
pangilia mazingira yako vizuri... epuka kuacha vyombo bye bye masalia ya chakula bila kuvisafisha pia hakikisha kuna mwanga wa kutosha ndani kumbuka mende wanaogopa sana mwanga /photophobia.
 
Puliza HIT ni dawa ya mbu. Inaua Kila kitu. Puliza Sasa kila sehemu uvunguni kwenye Kochi, kabati n.k baada ya nusu saa lete marejesho.
Mkuu hiyo nimepuliza sana na nyingine za kinyunyiza lakini ndo kwanza wanazaliana.
1545576804957.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom