Tisheti za Mango zinahitajika

Tisheti za Mango zinahitajika

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Wadau,

Naitaji tisheti za mango good quality kama 300 ndio nazo hitaji. Naweza pata kwa 4500 kila moja.

Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata.

Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.
 
wadau naitaji tisheti zamango good quality kama 150 naweza pata kwa 4500 kila moja kwawanao fahamu ni pm wakuu rangi tofautitofauti maduka hambayo naweza pata
zinItwa nimanga tshirt.alafu wanauza sh 8000 mkuu
 
Wadau,

Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja.

Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata.

Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.

Manga zinapatikana Kariakoo
 
Utapata mkuu maana hata reje reja mm kuna sehemu nanunuaga 5000
 
uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo?

km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka
Wadau,

Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja.

Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata.

Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.
 
sehemu gani unapata kwa elf 5 mkuu nikajalibu kuhelewana naho
 
uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo?

km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka
asant mdau nitakwenda kujalibu kuangalia na huko asant kwa talifa
 
Back
Top Bottom