Liliwahi kunifuata moja linafanana na huyo wa kwanza kushoto,wacha nilitoe mbio lakini halikukoma mpaka mwaka jana ilinibidi nihame mji..
hahahahaaaa kama nakuona vile unavyolitoa nduki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liliwahi kunifuata moja linafanana na huyo wa kwanza kushoto,wacha nilitoe mbio lakini halikukoma mpaka mwaka jana ilinibidi nihame mji..
KHAAA

jamani msiwaseme hivyo wanadamu wenzanu. Mungu katuumba kwa namna ya ajabu sana. wembamba, wanene wote tu watamu ili mradi maumbile yamekamilika. hayo mnayoona hapo ni maumbile ni ya nje tu, chini na ndani ni kama wengine. amini msiamini ukimthamini utampenda sana, ni mtamu kama wengine na hata kuwazidi baadhi yetu. Glory to God
hivi hata "shamba" wanaweza kusafisha kweli?
hivi hata "shamba" wanaweza kusafisha kweli?
Huyo wa kwanza kulia mbona ki-modo kabisa, mkuu hebu nidondoshee mawasiliano yake...
jamani msiwaseme hivyo wanadamu wenzanu. Mungu katuumba kwa namna ya ajabu sana. Wembamba, wanene wote tu watamu ili mradi maumbile yamekamilika. Hayo mnayoona hapo ni maumbile ni ya nje tu, chini na ndani ni kama wengine. Amini msiamini ukimthamini utampenda sana, ni mtamu kama wengine na hata kuwazidi baadhi yetu. Glory to god
Mtumishi unanichekesha, eti ni mtamu kama wengine. Kweli mwaya Mungu atuumba vile kwa ajili ya utukufu wake.
Mmmmm tunaweza kabisa, kwani unadhani tuko tofauti sana wala hatujioni tofauti.
mhh sidhani kwa kweli hapo walipo hata wamesahau vitumbua vinafananaje hahahahahaaa,maana kunyanyua huo mtumbo pia ni kazi nyingine na unahitaji msaada wa watu kama sita hivi
mzee ungempa rungu tu,au hana makaratasi,teh tehLiliwahi kunifuata moja linafanana na huyo wa kwanza kushoto,wacha nilitoe mbio lakini halikukoma mpaka mwaka jana ilinibidi nihame mji..
hahahahaaaa kama nakuona vile unavyolitoa nduki
Hadi wewe mtakatifu??? wameumbwa nao kwa mfano wa Mungu........:shock:
Mmmmmmh mbona unanikatisha tamaa mapema hivi, manake mimi ni kama huyo wa pili kutoka kushoto. Lakini kwa sababu umetakasika najua haitakuwa kama wakati huo.