Indian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 821
- 708
Hivi kwani hakuna njia nyingine kama ya code number kutambua simu fake kama ilivyo kwa NOKIA unabonyeza *#0000# inakupa details zake? wakati kwa NOKIA feki ukibonyeza hizo code inabaki inakushangaa tu, hivyo inakuwa rahisi kujua ni fake au original.
Hii kitu now unajidanganya ha wachina nao sasa unaweka hizo number na inakuja manufature date na kila kitu