TIPPO (Zizzou Fashion)

kaka amani...choka anasema kwanini alitolewa kwenye nyumba aliyopangishiwa na zizzou?....mkataba wa nyumba ulikwisha ndio maana baba yake choka akamlipia for 2years au sio?...muulize choka maswali haya....

1- je alipangishiwa nyumba kwa masharti yapi yeye na mwajiri wake waliyowekeana?...i.e. ni moja kati ya terms za mkataba kati ya choka na zizzou?

Mkuu kwanza kama ulivyosikia mkataba wenyewe wa hati hati haijulikani kama walitia sahihi au ni mbwembwe tu za mjini za maneno.

2- je kuuza nguo za zizzou ni moja wapo ya masharti ya kazi aliyoajiriwa?...kama sio kwann alikwenda kuuza nguo mpaka hayo yakamkuta?

Jamaa aliajiriwa kama DJ wa Zizzou Ent. Kwa hiyo alitakiwa kusimama kwenye Show zote za wasanii walio chini ya Zizzou kama DJ, hayo ya kuuza nguo nafikiri jamaa alikua anapiga kazi kiaina au alikua anafata ule mstari kwenye Job description unaosema” To perform any other task given by the Manager”

3-..choka ana umri gani?...naanza ku-smell rat here..analipiwa kodi ya nyumba na baba yake wakati amesign contract na zizzou?...nahisi kama ni under age kusign mkataba..wish baba yake angelisgn on his behalf kama mzazi wake....ila pia ni AJIRA KWA WATOTO....kama ni above 18...nahisi dogo suala la financial management yake ipo hovyo sana kiasi cha kushindwa kujilipia accomodation...

Hayo mambo ya kuwa 18 huyu mkuu ameshapita huo umri zamani, ila ni kuwa tu mambo ya kipato cha kulipia nyumba baada ya kutokuafikiana na Zizzou jamaa alikua hana

4..mwambie aweke mkataba/makubaliano waliyofikia na zizzou kwenye blog yake tutamsaidia kumwambia alipokurupuka...pia ajifunze kutumia lawyers hata kwa ushauri..(here is an oppertunity kwa lawyers/lawfirms..toeni msaada wa kisheria kwa how celebrities wetu wa kibongo japo kwa malipo kiduchu ..naona hawajui lolote kuhusu sheria)
..NI MAONI TU WWADAU

Nakubaliana na wewe kuwa jamaa alikurupuka.
 
we santa acha kuleta issue za kitoto,huyo rafiki yako kam hukumuani mimi utaniamini vipi??mi nilisikia Tippo kamla blue ndio hiyo??[/QUOTE]

Mkulu,
wewe ndio haswaa... umepituka!
Ok lakini hayo ni mambo yako umesikia wewe (sisi wabongo Hodari sana kusema watu hasa wakiwa na mafanikio kidogo)si ajabu baadae kidogo kasema pia Kamla Mangwea au Hata Bushoke kwani hao pia wako kwenye label yake.
Nilicho taka kujua mimi ni kuhusu huyo kijina Choka amabye anasema kanymwa nauri na yeye ni mwajiriwa wa Zizzoue Fashiona mpaka kaenda radio kwa hiyo issue......

Mwanzo ulidai hujui kilichoongelewa na hivyo kutaka wadau wakuhabarishe, lakini huyu unambishia?

Mkulu heshima mbele,

Asante kwa hiyo post yako umeeleza yote ambayo yalitakiwa kuelezwa,umenitoa kwenye kikaango.
Na nimeelewa kuhusiana na mahusiano yaliyokuwapo kati ya Bwn.Choka na Middle Zizzou.
Mimi namfahamu Tippo vzr sana na niliposikia hizo hbr. nilishangaa sana kwani hakuna mtu smart kama Tippo na sikujua nini kimemtokea mpaka aka muacha huyo bwn.Mdogo shule ya Uhuru.
tatizo la wadogo zetu wanadhani mafanikio na umaarufu yanakuja kirahisi kama kuomba interview kwenye radio na kumchafua mtu.
Najua kwamba Tippo anawasaidia vijana wengi wachilia mbali huyo Choka .

Kikaango kipi mkuu? Kwa hiyo ulikuwa na marking scheme kuona ni yupi yuko correct? Mwanzoni nilikuuliza jamaa yako alikwambia nini ukasema unataka maoni! yametolewa maoni mawili tofauti umesahihisha moja mwingine umempa No.

Cant we conclude kwamba ulikuwa una-find out how many walisikia jinsi mshikaji wako Tippo alivyodhalilishwa?
 
kaazi kwli,sasa hata kama utaambiwa hapa ni bado tu utakuwa umesikia ,hivyo mambo ya kusikia yatabaki unasikia tu.
 
Mwanzo ulidai hujui kilichoongelewa na hivyo kutaka wadau wakuhabarishe, lakini huyu unambishia?

Kikaango kipi mkuu? Kwa hiyo ulikuwa na marking scheme kuona ni yupi yuko correct? Mwanzoni nilikuuliza jamaa yako alikwambia nini ukasema unataka maoni! yametolewa maoni mawili tofauti umesahihisha moja mwingine umempa No.

Cant we conclude kwamba ulikuwa una-find out how many walisikia jinsi mshikaji wako Tippo alivyodhalilishwa?

Mkuu,

Mbona hii issue imewekwa sawa na WC?,labda kuna jingine unalihitaji kutoka kwangu,niambie tu,nitaliweka sawa...............!!!
 
Mkuu,

Mbona hii issue imewekwa sawa na WC?,labda kuna jingine unalihitaji kutoka kwangu,niambie tu,nitaliweka sawa...............!!!

Hoja yangu ni very simple, ulisema umeahadithiwa na mtu aliyesikia redioni lakini hukumwamini na hivyo ukaamua kuleta hoja yako hapa JKF upate ukweli. Sasa JE,

1. Kama hukumwamini mtu aliyekuambia na mlikuwa one to one, utaamini vipi kutoka JF?

2. Hoja zimetolewa, nyingine umezipinga nyingine ukazikubali.

3. I you read between the lines, inaonesha jibu ulikuwa nalo!

4. Hii haioneshi kwamba ulikuja kutafuta ni wangapi walisikia ishu ya mshikaji wako TIPPO?

Naomba utuweke sawa, hicho ndio nahitaji kutoka kwako and not otherwise mkuu!
 
Nimefikilia kutokukujibu nikaona haita kuwa sawa,majibu yangu bni haya;

1. Kama hukumwamini mtu aliyekuambia na mlikuwa one to one, utaamini vipi kutoka JF?

Si kwamba sikumwamini,nilihitaji kufahamu zaidi juu ya ukweli wajambo lenyewe ndio maana nikalileta hapa.Ukiondoa baadhi ya watu hapa JF ambao ni ving'a ng'anizi na wamekaria ubishi na Uzushi wa mambo ambayo they know nothing of,Jf nisehemu ambayo kupata ukweli wa mambo ni jambo la kawaida,nimekuwepo hapo muda mwingi kufahamu hilo unlike some of us.

2. Hoja zimetolewa, nyingine umezipinga nyingine ukazikubali.

Sio kila hoja lazima niijibu,wengine ni mawazo yao binafsi yasio na msingi.

3. I you read between the lines, inaonesha jibu ulikuwa nalo!

Jibu nimeshapata,ni kweli tena hapa JF.

4. Hii haioneshi kwamba ulikuja kutafuta ni wangapi walisikia ishu ya mshikaji wako TIPPO?

Ni kweli,nanimefahamu pia wanasema nini kuhusiana na sakata zima.

Sasa kama una lazaidi pia unaweza kuleta.
 
Wadau naomba kuchangia katika hili, mimi nilimsikiliza DJ choka (http://djchoka.blogspot.com) kuwa alipelekwa na Zizzou kuuza tisheti siku ya mechi ya Taifa star na Ivory Cost, mbaya zaidi hakumpa hata nauli ya kurudia, mwisho wa siku jamaa akaomba simu ampigie boss wake na ile simu ikaibiwa, jamaa akaweza Bond Laptop ya Boss wake alokuwa anaitumia kuapdate Blog yake, mananeo mengi sana kama wapo wanaweza kutulete maelezo zaidi..
Choka amejitoa kwa Zizzou na hataki tena any project naye.

Ndo yangu..
 
DSCN3193.JPG

Huyu dogo hana upeo....thats why hata presenter wa siku ile walimpa live....
 
Mh! ni mtoto wa KIUME kweli huyu DJ CHOKA?

yap...ni MTOTO WA KIUME ila anakosa UANA-UME....(mambo ya BOYZ-TOwards-MEN) aliyoyafanya ni ya kitoto ila wa kiume...amekosa ukomavu wa kiume na kutoa maamuzi plus interview ya kitoto.

anayo hoja ya msingi lakini amei-present kiasi kwamba ameonekana kukurupuka plus ujinga ndani yake...dogo anayo kazi ngumu kui-convice audience yenye akili timamu kama ya JF...ila pia blog yake kiasi flani naona kama inahitaji mtu wa ku-edit kabla haijaenda public maaana nayo inaelezea kiasi gani upstairz asivyokuwa smart...ni maoni tuu
 
Be serious man, "mtu wangu wa karibu hakusikia vizuri so hakunieleza vizuri, aliyesikia alete habari hapa" sasa what are we supposed to discuss here?
 
ahahahahaahahaha....ndio maaana...mie nilikuwa nahisi jamaa yupo serious kumbe ni maskhara tupu....i dont mean to offend dj choka ila this boy gotta be a lil serious kama kweli anataka jamii imuelewe na imuheshimu ili tusimuone mropokaji tuu...ni maoni wadau
...unajuwa sielewi vizuri hapa..anaomba msaada wa laptop "nzuri ya kufanyia kazi zake"....au ...anataka anayeuza amuuzie???..ikumbukwe anafanya biashara ..au sio?...hata blog yake naona ina matangazo ya biashara plus ..mixtapes ambazo sijui anazifanya yeye au yeye ni muuzaji tu....

ushauri wangu kwa dj choka...achana na beef zako na kina zizzou..kaa kwenye net tafuta jinsi wenzako kina dj red alert, dj funk master flex, na wengineo wanavyoweza kuishi kwa kufanya udj wao na hata sikumoja hawaombi laptops bali wanasaidia jamii...sit back at ur mixing console kick 'em beats got serious mc's to lay in their serious vocalz ..do ur magical mixes ...hit the streetz wit the killer mixtapes n cds...followed by videos...get ur lawyer to do the paper works..the rest will be ur succes story....how can a dj sell cloths????
maelezo ya kina. CHOka ni momma boy fulani
 
Nimefikilia kutokukujibu nikaona haita kuwa sawa,majibu yangu bni haya;

1. Kama hukumwamini mtu aliyekuambia na mlikuwa one to one, utaamini vipi kutoka JF?

Si kwamba sikumwamini,nilihitaji kufahamu zaidi juu ya ukweli wajambo lenyewe ndio maana nikalileta hapa.Ukiondoa baadhi ya watu hapa JF ambao ni ving'a ng'anizi na wamekaria ubishi na Uzushi wa mambo ambayo they know nothing of,Jf nisehemu ambayo kupata ukweli wa mambo ni jambo la kawaida,nimekuwepo hapo muda mwingi kufahamu hilo unlike some of us.

2. Hoja zimetolewa, nyingine umezipinga nyingine ukazikubali.

Sio kila hoja lazima niijibu,wengine ni mawazo yao binafsi yasio na msingi.

3. I you read between the lines, inaonesha jibu ulikuwa nalo!

Jibu nimeshapata,ni kweli tena hapa JF.

4. Hii haioneshi kwamba ulikuja kutafuta ni wangapi walisikia ishu ya mshikaji wako TIPPO?

Ni kweli,nanimefahamu pia wanasema nini kuhusiana na sakata zima.

Sasa kama una lazaidi pia unaweza kuleta.

wewe ungekua mtaani kwetu tungekuita mshanta.....yani mwanaume mbeya....hahahhaahha.....usije kulaumu ukianza kutafutwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom