TIPPO (Zizzou Fashion) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TIPPO (Zizzou Fashion)

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sanda Matuta, Jan 18, 2010.

 1. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Nimesikia habari za kutatanisha ama kusikikitisha kutoka kwa mtu wangu wa karibu,kwamba huyu Jamaa Athuman Tippo (Another True Cebebrity wa Kibongo),anakashfa nzito ya mpaka imefikia kutangazwa kwenye Radio ya Clouds Fm. wiki iliyo pita.
  Kisa ambacho sikukielewa vizuri,sasa kama kuna mtu anajua kwa undani nini kimelitokea mpaka ikawa hivyo ilivyo kuwa tafadhali embu tuwekee hapa,alafu by the ways,yule dogo aliye peleka hiyo habari ambaye ndio mwenye hilo beef na Tippo nasikia ana Blog,sasa kama hivyo ndivyo mwambieni au alete kisa chao hapa tujue maana wengine sio watu wa Radio.
   
 2. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwani wewe umehadithiwa nini na huyo mtu wako wa karibu? Maana hoja yako bado haijaeleweka vizuri. Eleza kashfa yenyewe kwanza nasi tupate pa kuanzia!
   
 3. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Siwezi kusema kitu ambacho sikijui,ndio maana nikaomba watu walio sikia Radioni ama wenye kujua waniambie.
  Kwanini nilete majungu hapa wakati kuna walio sikia?
   
 4. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ina maana rafiki yako hakusikia kitu redioni, na je alikupa habari gani? Mwanzoni umedai umehadithiwa, sasa unakana! Kulikoni Sanda Matuta?
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu,Vipi wewe,

  Nilicho sema mimi nikwamba kuna mtu wangu wakaribu kaniamabi kuhusu hiyo habari kuwa ilitangazwa Radioni,ninacho chelea mimi ni kusema nilicho ambiwa kwani kinaweza kuwa kweli ama si kweli (kwani source yangu anaweza kuwa hakusikia vizuri na nachelea pia kumwita muongo) ndio maana kabla ya kusema nilicho sikia nikaamba wana jamvi walio sikia walete full story hapa.

  Kama unataka kujua kwanini sitaki kusema nilicho ambiwa,mimi sio mtu wakusikia mambo na kuyasema kabla ya kuyafanyia upembuzi kama walivyo watanzania wengi,alafu Tippo ni mtu zaidi ya hiyo kashfa kama unanielewa.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Acheni umbea!
   
 7. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Upi sasa.......?
  Kua wazi
   
 8. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu Sanda Matuta,

  Unaonaje kama ungefanya upembuzi wako kwanza halafu ndiyo ukaja na thread yako hapa?
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Nadhani hajafanya vibaya, na huo upembuzi ndo anaufanyia humu. Mbaya ni kumwaga kila kitu wakati huna uhakika. Tusubiri waliosikia, kama hawapo thread ifungwe.
   
 10. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Haswaa................!
   
 11. I

  Ivilikinge Member

  #11
  Jan 18, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we santa acha kuleta issue za kitoto,huyo rafiki yako kam hukumuani mimi utaniamini vipi??mi nilisikia Tippo kamla blue ndio hiyo??
   
 12. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
   
 13. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  ahahahaha...nilisikia hiyo habari ya zizzou entartaiment na dogo m1 anajiita dj choka ...issue naona ni utoto, ujinga na kutokujua nini maana ya mkataba/terms za mkataba...

  dogo anaclaim kuwa alitelekezwa na zizzou mitaa ya shule ya uhuru akiuza bidhaa za mwajiri wake siku ya mechi kati ya tanzania na kina drogba.....kwa hiyo ameamua kuacha kazi na ku-terminate mkataba wa miaka miwili uliokuwa wamakubaliana ila hawajasign...na dogo alishatumika na zizzou entartainment kwa kitu kama 3-6months....

  maswali ya msingi ambayo dogo anatakiwa atujibu watu wenye akili zetu ni haya..
  1-...akiwa kama dj choka...aliajiriwa zizzou akauze jezi au akapige disko siku ambazo wasanii wa zizzou wanafanya maonyesho?

  2-...kama ndio (1)...kwanini alikwenda kuuza jezi..kazi ambayo ipo nje ya mkataba wake?
  3-...kwanini kwa umri wake na umaarufu wake anakosa hata tsh 5000/= mfukoni ya kurudia nyumbani kwa tax (sio daldala kwa kuwa yeye ni maarufu mjini..ndio maana analalamika kudhalilishwa)

  4...kutotiwa sign kwa mkataba kati yako na zizzou kisheria sio kigezo cha wewe kusema sio mwajiriwa wa zizzou...(consent Ilikuwapo ndio maana ulikuwa unalipwa mshahara...hata kama ulikuwa mdogo)...pia sio lazma mwajiri akuletee mwajiriwa mkataba utie sign...unaweza kuandaa mkataba kama mwajiriwa na kumpelekea mwajiri wako atie sign....(nadhani kijana hana lawyer au hajui umuhimu wa watu hao)

  5...dogo anatakiwa pia ajue madhara ya kwenda public ku-accuse mtu..anaweza kupelekwa kwa pilato kwa defamation ya zizzou ambaye ni mfanyabiashara na kutakiwa kumlipa...(sijui kama dogo anaweza kulipa...maana hata tsh 5000 ya tax alikuwa hana)
  6..dogo kama sio ujinga...unauza nguo unapata tshs say 100,000/= kweli unashindwa kutumia hiyo pesa ikurudishe ofisini na ukaelezea yaliyojiri mpaka ukarudi...ona sasa ume-jiexpose radioni kuwa hukuwa na hata tshs 1 ya kwako ila unazo za zizzou na hujui kabsaaaa kusolve matatizo yanayotokea mbele yako???

  dogo atupatie majibu na sio kuropoka hovyo radion na kulialia kama kweli kaonewa na kudhulumiwa.....NI MAONI TUU WADAU
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  du wabongo tuna mambo sie
   
 15. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkulu heshima mbele,

  Asante kwa hiyo post yako umeeleza yote ambayo yalitakiwa kuelezwa,umenitoa kwenye kikaango.
  Na nimeelewa kuhusiana na mahusiano yaliyokuwapo kati ya Bwn.Choka na Middle Zizzou.
  Mimi namfahamu Tippo vzr sana na niliposikia hizo hbr. nilishangaa sana kwani hakuna mtu smart kama Tippo na sikujua nini kimemtokea mpaka aka muacha huyo bwn.Mdogo shule ya Uhuru.
  tatizo la wadogo zetu wanadhani mafanikio na umaarufu yanakuja kirahisi kama kuomba interview kwenye radio na kumchafua mtu.
  Najua kwamba Tippo anawasaidia vijana wengi wachilia mbali huyo Choka wako wengi wa aina ya huyo dogo
   
 16. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145


  Hili suala la huyu kijana ni la ki maslahi zaidi, inaonekana Zizzou anawatumia hawa jamaa kwa ujira mdogo sana, ila kilichomfanya Dj Choka ashindwe kuwa mvumilivu mpaka kwenda redioni ni lile suala la kutolewa kwenye nyumba aliyokua amepangishiwa na Zizzou pale Sinza Lion, na ni mzazi wake Dj Choka aliyeokoa jahazi na kumlipia kodi ya miaka miwili.
  www.djchoka.blogspot.com
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  ahahahaaaa...mambo gani tena bibie?..anyway tuna tatizo moja nadhani la kuhamishia matatizo yetu kwa watu tunaodhani ndio waliotusababishia matatizo tuliyonayo...wakati ukweli ni kwamba sie wenyewe ndi chanzo cha matatizo yetu....do a reserch you will tell me am absolutely 101 correct..sio siasa zetu, sio mahusiano yetu, everything we tzanians touches..lazma tunablame hovyohovyo...
  ahahahahah....ni maoni tuuu mdau
   
 18. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  kaka amani...choka anasema kwanini alitolewa kwenye nyumba aliyopangishiwa na zizzou?....mkataba wa nyumba ulikwisha ndio maana baba yake choka akamlipia for 2years au sio?...muulize choka maswali haya....

  1- je alipangishiwa nyumba kwa masharti yapi yeye na mwajiri wake waliyowekeana?...i.e. ni moja kati ya terms za mkataba kati ya choka na zizzou?

  2- je kuuza nguo za zizzou ni moja wapo ya masharti ya kazi aliyoajiriwa?...kama sio kwann alikwenda kuuza nguo mpaka hayo yakamkuta?

  3-..choka ana umri gani?...naanza ku-smell rat here..analipiwa kodi ya nyumba na baba yake wakati amesign contract na zizzou?...nahisi kama ni under age kusign mkataba..wish baba yake angelisgn on his behalf kama mzazi wake....ila pia ni AJIRA KWA WATOTO....kama ni above 18...nahisi dogo suala la financial management yake ipo hovyo sana kiasi cha kushindwa kujilipia accomodation...

  4..mwambie aweke mkataba/makubaliano waliyofikia na zizzou kwenye blog yake tutamsaidia kumwambia alipokurupuka...pia ajifunze kutumia lawyers hata kwa ushauri..(here is an oppertunity kwa lawyers/lawfirms..toeni msaada wa kisheria kwa how celebrities wetu wa kibongo japo kwa malipo kiduchu ..naona hawajui lolote kuhusu sheria)
  ..NI MAONI TU WWADAU
   
 19. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asingeenda kwenye Radio nadhani angeyamaliza na Muajiri wake kiume,hata hiyo laptop angeachiwa maana kabandika tangazo kule kwake anaomba asaidiwe laptop.
   
 20. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  ahahahahaahahaha....ndio maaana...mie nilikuwa nahisi jamaa yupo serious kumbe ni maskhara tupu....i dont mean to offend dj choka ila this boy gotta be a lil serious kama kweli anataka jamii imuelewe na imuheshimu ili tusimuone mropokaji tuu...ni maoni wadau
  ...unajuwa sielewi vizuri hapa..anaomba msaada wa laptop "nzuri ya kufanyia kazi zake"....au ...anataka anayeuza amuuzie???..ikumbukwe anafanya biashara ..au sio?...hata blog yake naona ina matangazo ya biashara plus ..mixtapes ambazo sijui anazifanya yeye au yeye ni muuzaji tu....

  USHAURI WANGU KWA DJ CHOKA...achana na beef zako na kina zizzou..kaa kwenye net tafuta jinsi wenzako kina dj red alert, dj funk master flex, na wengineo wanavyoweza kuishi kwa kufanya udj wao na hata sikumoja hawaombi laptops bali wanasaidia jamii...sit back at ur mixing console kick 'em beats got serious mc's to lay in their serious vocalz ..do ur magical mixes ...hit the streetz wit the killer mixtapes n cds...followed by videos...get ur lawyer to do the paper works..the rest will be ur succes story....how can a dj sell cloths????
   
Loading...