Wana JF heshima mbele ; nafikiria kuingia kwenye biashara Ya malori makubwa Ya mchanga na kokoto! Naomba muongozo brand ipi Ni bora kwa sisi tunaoanza Kwa mitaji kidogo? DAF, Scania, Iveco , Man? Natanguliza shukran !!
Du , kumbe escrow ilienda na Moshi pia!Umekosea njia hapa si mahali pake. Toyota hilux inaweza kutosha nenda kanunue hyo.