Alhadj mohameid
Member
- Oct 17, 2016
- 13
- 9
Salamu wakuu,
Kama nitakuwa nimekwenda nje ya mada nawaomba radhi ,mimi ni dereva wa muda sana katika ufanyajikazi wa tipper kubwa (gari za kusafirisha material ya ujenzi) nimefanya kazi chanukah,mbagara na badae nihamia Dodoma wakati mji unajengwa mpaka sasa ndiyo makazi yangu kwa bahati nzuri kipindi chote hicho nilikuwa na gari ya boss wangu nafanyia kazi ila toka mwishoni wa mwezi uliopita ameiuza maada ya matatizo yake kifamilia kwaiyo mpaka sasa nimejikuta sina gari ya kufanya nayo nategemea deiwaka.
Maelezo yote hayo niliyatoa kiufupi hasa lengo langu. Naomba kama kuna mmiliki au boss anaeweza kununua tipa kubwa aina yoyote ninaweza kufanya nae kazi ni nina uhakika wa kila siku kulipa hesabu yake ya Tsh. 400,000 per day na nitaitunza gari yake kama yangu (sifanyi kazi saa 24 usiku), ombi langu ni hilo.
Mawawasiliano yangu 0673654598.
Pia nina contact ya kiwanda cha mbolea cha itracom kilichopo nala Dodoma, kwahiyo gari yake itabeba mbolea ya samadi ambayo ni nyepesi.
0673654598 ,0620654597