Tingatinga kuja muchukue mutu yako

Marahaba, wewe sijuhi kwanini hulali au umetoka meditation? Mimi saa 10 ilibidi lakini wewe vipi. Mimi kumekucha kidogo sasa.
Ndio nataka kuingia meditation nikasema nipitie JF kidogo
 
Huwa unaingia saa ngapi? Mwenzio huwa anaingia saa 11 leo hapana ilibidi nimdindikize saa 10.30 Asubuhi siogopi kuendesha.
3:-4:00 ila naona nimeshaghairi leo
 
Hahahaaa unaweza kupata kisukari hivi hivi.

Honorable speaker I have decided to withdrawal my name from contesting
Iam Rose Mwalusamba from KAFU mbeya[emoji23] [emoji23] [emoji23]

My daily bread[emoji23] [emoji23]
I have three krids
 
Wanaitwa wanamgambo uchwara wa NRM. Hawa jamaa nyang'au sana wanavuruga amani ya nchi yetu bure tu wakati ni mazero brain wa kutupwa. Mtu akipewa retire haamuliwi na mtu, akitaka kupumzika huko huko vichakani, sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…