Taarifa kushusu amos 5 satellite kutoka israel:
Leo wataalam kutoka israel wa amos 5 satellite wametangaza kwamba satellite imepotea!.
Kwahiyo wanataka tuhame katika satellite ingeni. Tumesikitika sana sana na pia kwa wateja wetu thamani, hakuna jinsi. Tunaomba radhi, ni nje wa uwezo wetu.
Mazungumzo na satellite ingeni inaendelea.
Ting tuta tangaza rasmi satellite mpya na freq nk.
Kwa wale wote ambao wanaelewa mambo ya satellite nk. Na wametupa pole, ahsanteni. Tuombe turudi hewani haraka.
Pia kwa wateja wote ambao wamelipa kifurushi chao, tutarudisha kwa siku ambazo hatuko hewani.
Ting tunajali..wateja wetu...tafadhali vuta subira kidogo. Mungu awabariki.