Naomben mnijuze kwa wanaojua
Ninahitaji Kupata TIN NUMBER..
Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza
JE vigezo gani vinatakiwa
Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
Naomben mnijuze kwa wanaojua
Ninahitaji Kupata TIN NUMBER..
Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza
JE vigezo gani vinatakiwa
Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
Ingawa umebugi jukwaa, ngoja nikusaidie. Unatakiwa uwe Mtaji wa biashara au biashara yenyewe, hivi hutumika katika kukadiria kodi yako katika mwaka. Baadaya hapo unaenda TRA kuzungumza nao, zamani ilikuwa baada ya makadirio ya kodi unalipa nusu ndo unapewa Tin namba ila kwasasa wanatoa tu.
Hakuna TIN Number ila kuna TIN. Kwa maelezo zaidi fika mamlakani upewe maelezo na wavaa tai. Kabla ya kutafuta TIN soma kwanza upepo wa biashara. Usikurupuke kwenda TRA.