TIMU YA WANANCHI

TIMU YA WANANCHI

Benderea

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
687
Reaction score
1,318
Timu ya wanachi Nyasa Big Bullets kama inavoitwa Malawi ndio timu pendwa kuliko zote.
Nyasa big bullets.jpg
Nyasa big bullets2.jpg
Je nyau atapona leo ? tusubiri dakika 90.
 
Acha kuwatisha watu. Imagine mpaka muda huu matumaini yao yote ya kuvuka hatua inayo fuata, wamemkabidhi Juma Mgunda! aka Guardiola mnene/Pitso Mosimane wa Bongo!
 
We mwana uto unajingamba uku unacheza na katim kamekuja kwaataabu,manara alishawambia yakuwa,wenye akili huko utopoloni ni babake na Jk basi
 
Back
Top Bottom