Ndio mkuu. Timu inatengeneza nafasi nyingi. Bado Opa na Mwanahamisi hawajaweza kucheza pamoja. Ngoja tuone mwalimu atatoka vipi katika mechi zijazoPale Mbele kuna makosa madogo madogo
Ila wapo Vizuri
Wamewakamua ngapi?Wapo vizuri. Ila lile goli la pili!! Nimelipenda sana.
Game ni mbili kila siku kuanzia saa nane mchanaSijawahi kuwaona
Naomba ratiba ya mechi nami nijipange kuwatazama.
Mtu kapigwa nne mtungiWamewakamua ngapi?
Ile offside sijui ilikuwajeWapo vizuri. Ila lile goli la pili!! Nimelipenda sana.
Game ni mbili kila siku kuanzia saa nane mchana
Kesho ni kundi B
Jumatano wanacheza na Zanzibar mkuu kuanzia saa kumiMkuu mechi ijayo itakuwa lini nisikose tafadhali
Huyo Double D ni nomaTuki-invest hawa mabinti watatuwakilisha vyema sana kimataifa shida tupo kwa wale vijeba kwa sababu ya mazoea tu...
D.Minja pekee anauwezo mkubwa wa kufanya maamuzi kuliko strikers wa stars
Huyo straika namba moja anapaka sana rangi.Pale Mbele kuna makosa madogo madogo
Ila wapo Vizuri
Mtu kapigwa nne mtungi
Leo kapuyanga sanaMwanahamisi Gaucho,unamwachaje
Wanajitahidi,nadhani Zanzibar watakula 15 labda wawaone huruma tu kulinda muunganoKatika michuano inayoendelea sasa hivi ya CECAFA SENIOR WOMEN CHAMPIONSHIP, Kilimanjaro Queen's imekuwa na muunganiko mzuri. Ukiwa unaiangalia timu hii unaona ule muunganiko mzuri.
Pia unaona usahihi wa pasi ambapo mara nyingi timu zetu zimekuwa zinapata shida.
Kuanzia golini mpaka bench la ufundi unaona muunganiko huo.
Mpaka sasa wachezaji waliotia fora ni Donisia, Double Aisha,Amina na kule nyuma ni balaaa. Mwalimu na benchi zima la ufundi wanastahili pongezi.
Pia timu nzima imekuwa ni nzuri sana. Mungu awasaidie wabakishe kombe nyumbani.
Mungu ibariki The Kilimanjaro Queens. Mungu ibariki Tanzania