Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.

Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?

Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
 
Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa? Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipoga risasi mguuni
Huyo kocha dini gani kwani?
 
Kwa Sasa Tff iachane kabisa na swala la kutafuta kocha kutoka Nje Wala msaidizi kutoka Nje.
Makocha waliopo wanatosha na Wana faa, Tff imetumia mda mrefu kuandaa makocha waliopo Sasa, imewaamini na wao wametuonyesha Wana weza.
Tatizo tulilo Baki nalo ni wachezaji, Nashauri mashindano ya vijana yawe mengi ili kupata wachezaji vijana wengi waliocheza mechi nyingi.
 
Wajomba hapa mwisho walijimaliza wenyewe zilipoanza tu tia maji tia maji za kupeana magari mara hela.
Mwanzoni walikuwa watulivu sana.
Hili la michezo kuwa mingi ya vijana ni 100% lipite na lisipuuziwe.
Tuwekeze kwenye michezo inalipa sana.
 
Kuna wakati ninamchambua feitotoweeeee kisha natoka kapa mm mwenyewe. Kwanini hapunzishwi hata kama akifanya vibaya uwanjani siku hiyo? Kweli shehani ni bora kuliko wachezaji wooooote walioachwa nje ya timu ya taifa? Shehani ni bora kuliko balua?
 
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.

Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?

Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Mimi huwa najua siku zote kocha wa Taifa Stars ni Adel Amrouch, akimaliza adhabu ya CAF ya mechi nane anarudi kwenye kazi yake au Amrouch alishafukuzwa mimi ndiyo sikufuatilia?
 
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.

Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?

Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Fanya hivi futa simba na yanga ndio utapata wachezaji ukinijibu ili utasema kwa nini hakuna timu ya taifa
 
Timu ya taifa izingatie ubora tu basi, hata kama wachezaji 8 wote wanatoka Simba, Azam, JKT au Yanga. Kuchagua wachezaji kwa kubalance timu au eneo la muungano hatutafika mbali. Kocha wa aina hiyo atatuchelewesha sana.
 
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.

Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?

Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Kocha anatakiwa aje na benchi lake la ufundi, kama wanampenda Morocco wampe cheo kingine na siyo ukocha
 
Hebu ona, Morocco alikuwa akisema uongo kuhusu sababu za kuacha kumuita Dickson Job kikosi cha Taifa. Sasa hivi amemg'ang'ania kama mkombozi kwenye safi ya ulinzi mpaka unajiuliza job ameboreka lini hadi Sasa anafaa timu ya Taifa?
 
Kwa Sasa Tff iachane kabisa na swala la kutafuta kocha kutoka Nje Wala msaidizi kutoka Nje.
Makocha waliopo wanatosha na Wana faa, Tff imetumia mda mrefu kuandaa makocha waliopo Sasa, imewaamini na wao wametuonyesha Wana weza.
Tatizo tulilo Baki nalo ni wachezaji, Nashauri mashindano ya vijana yawe mengi ili kupata wachezaji vijana wengi waliocheza mechi nyingi.
Tuache masiala! hao makocha CV zao zinatosha kupewa timu inayowakilisha watu Million 60!

Mzize, Samata, Job, Kapombe wanafundishwa na world class coaches alafu wanaenda timu ya taifa wanapewa kocha analogy aliyefeli namungo hata technology imemtupa!
 
Kwani Morocco aliwahi kuifundisha timu ipi kwa mafanikio hadi ahamishie mafanikio hayo kwenye timu ya Taifa? Hawa akina ibenge walipewa timu yao ya taifa lakini walionyesha umahiri kwenye club yake kwanza.
 
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale.

Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa kuzingatia Simba, Yanga, Azam na Zanzibar. Mfano, unamuacha Chikola nje na kumuingiza Shehani ni sawa?

Kuwaacha wachezaji kama Kibwana, Farid, Kibu ni kujipiga risasi mguuni
Hakuna Kocha anafukuzwa kisa uteuzi wa wachezaji,
Kocha anaondolewa kutokana na perfomance mbovu

Mpaka sasa hakuna Kocha aliyetupa mafanikio Starz kama Hemed Morocco,
Tuwe wakweli, tuache unafiki na husda.

1. Chini ya Hemed tumeweza kufika robo fainali CHAN kwa mara ya kwanza na isivyo bahati tumetolewa na Morocco ambayo ni Taifa namba mbili kwa ubora wa ligi Africa

2. Tumefuzu Afcon 2024 kwa kufikisha point 10 kundini na last game tumewagonga Guinea na kuchukua point 4 (home & away) mbele yake yenye masupastaa wakubwa kama kina Guirassy, Sylla, Diakite nk

3. Mpaka sasa kwa jumla ya game kumi za hivi karibuni chini ya Hemed, Starz imeweza kushinda game SITA, draw mbili na tumepoteza game mbili tu

Sasa tafuta Kocha yoyote ndani ya miaka hii kumi awe mzawa au foreigner mwenye mafanikio kuliko Hemed ndani ya Starz.
 
Tuache masiala! hao makocha CV zao zinatosha kupewa timu inayowakilisha watu Million 60!

Mzize, Samata, Job, Kapombe wanafundishwa na world class coaches alafu wanaenda timu ya taifa wanapewa kocha analogy aliyefeli namungo hata technology imemtupa!
Kocha ni taaluma na uzoefu katika tasnia.
Ao makocha Wanastahili na wameonyesha Wanastahili.
Tangu nimeanza kufuatilia Mpira wa miguu kwa apa Tanzania awa ndio set ya Makocha iliyofanya vizuri kwa muda mfupi kuliko SET zote ikiwa pamoja na Wazungu walio wahi kupita uko nyuma
 
Back
Top Bottom