Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
hii nchi hatuwezi mpa fisadi.ni heri tumchague hata DOVUTWA.
ogepeni saaaana mtu anayepigana vita kimya kimya. Mutashangaa siku ya mwisho hata mkeo atakugeuka. Kama maneno yangekuwa ni ushindi, basi sadam hussein angeshinda vita dhidi ya wamarekani kwa kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakati wa utawala wake.
1. Mzee Apson
Huyu kila mtu anafahamu umahiri wake, amekuwa mkurugenzi wa usalama na ndicho kipindi usalama wa taifa wa Tanzania ulikuwa imara sio tu Tanzania ila na nchi za Africa kote...ni kipindi hichi usalama wa taifa uliweza kulisaidia dunia katika vita ya ugaidi katika kanda hii yote ya Africa na Latin America, na ukisoma kitabu cha Ogot (2012), katika kitabu chake cha current African story to the World anasema pamoja na Tanzania kupata hizo sifa lakini Mzee Apson Mwangonda alistahili pongezi zaidi na zaidi kwa kazi aliyofanya ya kuimarisha amani katika maziwa makuu na kujenga imani kwa nchi za magharibi kwamba africa mashariki kwa ujumla imekomaa katika usalama hasa wa ushushushu; sasa huyo ndio leo ni mwenyekiti wa kampeni ya Lowassa ebu jaribu kupata picha ninayopata sasa hivi...
4. Mzee Chizi
kama umekulia ndani ya ccm uwezi kutofahamu uwezo na umahiri wa mzee chizi..amekuwa mkufunzi wa chama katika miaka mingi sana hivyo ni mtaaluma wa chama anayejua chama vizuri, anayejua misingi ya chama, anayejua conceptual za chama, anayejua theories za chama, anawajua wanachama na misimamo yao... kwa kifupi ni mwanachama wa muda mrefu anayeheshimika katika chama.
- Membe sasa kanyosha mikono hawezi gemu na sasa kumsapoti Pinda, hii ni baada ya familia ya JK kuacha kumsapoti kwa kuwa jamaa hauziki hata kidogo, hana mvuto wa kisiasa, na zaidi kusapotiwa na familia ya salma imemfanya aonekane ni mtu wa kubebwa bebwa tu wakati wanaume wanapigana wenyewe...Hatuwezi kumpa nchi mtu dhaifu tena na tena...........
genge la wahalifu akina rostam na watoa rushwa wenzake wapeni utawala muwajue,nyie zenu si laki tatu wenzenu wanapiga mabilioni shabikieni sana, nchi hi bado inao watu wazuri wanaoweza kuongoza bila mambo ya rushwa ingawa mmeanza kuwapiga vitaHii timu asilimia kubwa ni wezi wote sijui wakishika uongozi itakuwaje.
Hizi ni habari njema kusikia kuwa eti Bernard Membe amejiunga na timu ya Mizengo Pinda. je Edward Lowassa amejiunga na kambi ya nani? Chadema? UKAWA? au UAMSHO?
Labda ajiunge na ukawa!! Na wakati huo ahamie chadema.
mwaka huu watalia tu sidhani kama watanzania watakubali kufanya ujinga wa kuchagua mafisadi kama hawa ambao kila mtu anajua kuwa ni wezi.