Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

Wapinzani wanatakiwa kujifunza kitu, wanatakiwa kupunguza mihemko, wanatakiwa kutulia na kufanyia kazi tafiti za kisayansi, wanatakiwa kuachana na wataalamu "Madokta" na "Maprofessa" uchwara wengi wao wako kimaslahi na wamezoea kupika data na kucopy na kupesti............kila mara nasema ushindi katika chaguzi ni mahesabu,ni ujuzi wa kutumia kisawasawa udhaifu wa mpinzani wako.Tatizo letu sisi ni wepesi wa kupinga kila kitu yaani hawa UKAWA hata ukiwaambia wao watashinda watapinga tu.
 
Kwa mtazamo wako upo sahihi, ila kwa mtazamo wangu mimi naona watanzania kwa kuichoka kwetu CCM tunataka kuipa

nchi kwa kundi fulani la watu ambao hata hao CCM waliwakataa.
CCM waliwakataa lini?
funguka macho,angalia fedha za EPA eti wezi wanapewa muda wa kurudisha?
Haya yote uchaguzi ukiishapita utakuta tunaungana wote kulia
lakini wakati wa kufanya maamuzi tunajitoa ufahamu,kama ni uchawi
basi safari hii watu tumeomba hautafanya kazi,

Ukiona shetani amemkataa mtu ujue amempokea Yesu
sisi tunasema ameokoka,na hivyo shetani anamhesabu
kuwa mharibifu na akiendelea kubaki naye ni hasara.
Hivyo ndugu yangu ninyim kumkataa lowasa wakati waliobaki ni wachafu zaidi hainipi amani.
 
".....walutheri mniombee sana..nchi hii haijawahi kuwa na rais mlutheri....nyerere alikuwa mroman..mkapa pia
Sasa n zamu ya walutheri"

Huo ni udini

"...kaskazin tunaonewa sana..imekuwa n sehem ya uwaziri mkuu tu...sokoine alikuwa wazir mkuu wa huku..sumate pia na mimi nilikuwa waziri mkuu..hakujawahi kupatikana rais...sasa n zamu ya kaskazini"

Hahah
huo n ukabila

Hatuwez kuchagua rais wa walutheri aitwae ngoyai
 
Unaleta kauli za kibajaji sasa enhee!!! Baada ya kushindwa hoja na mnavyozidi kipigwa na tafiti huru na za wazi sasa mnatafuta njia yoyote ile hata ikiwezekana muipasue nchi? Mzee wa pushup a.k.a raptop, ikulu ataiona akiwa anapita nje kama mwananchi mwingine wa kawaida tu.
 
CCM waliwakataa lini?
funguka macho,angalia fedha za EPA eti wezi wanapewa muda wa kurudisha?
Haya yote uchaguzi ukiishapita utakuta tunaungana wote kulia
lakini wakati wa kufanya maamuzi tunajitoa ufahamu,kama ni uchawi
basi safari hii watu tumeomba hautafanya kazi,

Ukiona shetani amemkataa mtu ujue amempokea Yesu
sisi tunasema ameokoka,na hivyo shetani anamhesabu
kuwa mharibifu na akiendelea kubaki naye ni hasara.
Hivyo ndugu yangu ninyim kumkataa lowasa wakati waliobaki ni wachafu zaidi hainipi amani.

Kwa hiyo unataka kuniambia CCM hawakumkataa Lowassa na mwenzie Sumaye? Tupunguze ushabiki usiokuwa na maana

tujadili kwa facts.

Mimi siwezi kukataa kwamba CCM hakuna ufisadi, ufisadi upo sana na ndio maana wananchi tumechoka nao tunataka

waondoke madarakani, lakini hii strategy ambayo Chadema wanataka kutuaminisha yaani siyo kabisa. Wao Chadema ndio

ambao miaka yote wanatuaminisha kuwa Lowassa ndio fisadi Papa kwenye hii nchi hii ni pamoja na utajiri mkubwa

aliokuwa nao yeye binafsi, mkewe na mwanaye. Utajiri ambao uko na maswali mengi hata wewe ambaye sasa hivi

unamshadadia na kusema kwa kuingia kwake Chadema eti ameokoka unashindwa hata kuelezea utajiri huu uliokufuru.

Hela nyingi zimetumika kwenye nyumba za ibada ili kujenga umaarufu na kukubalika kisha eti unasema mtu ameokoka.

Hivi kwa nini watanzania kila kitu tunapumbazwa tu na kupumbazika na kugoma angalau kutumia akili zetu kidogo

kufikilia?

Nadhani kutokana na mahaba yako kwa huyu mzee umeshindwa japo kudadisi tu kwanini CCM walimkata na kwanini

baadhi ya makamanda wa Chadema wanashindwa kurudisha moyo nyuma na kumsafisha huyu mtu.
 
Hebu tueleze vizuri ndg yangu, kule ccm, Lowasa alikataliwa kwa kura ngapi?
 
Sijakukatalia kwamba ccm walimkataa kama unavyoeleza,ila nimekupa mfano ila majibu yako yameukwepa
Nimekwambia ukikuta shetani kamkataa mtu,usishangilie tafuta sababu za shetani
kumkataa huyo mtu,huenda mtu huyo kampokea Yesu,wewe unaweza kudhani shetani kamtema
kumbe katemeshwa.Ninyim kumkataa EL
ilikuwa njia ya kumkataa asiende ikulu akakomesha uozo.
kama nadanganya weka ushahidi wa ccm kumfukuza au Lowasa au Sumaye?

Hivi mke wako akikukimbia utawaambia watu kuwa umemfukuza?
Unaweza kusema lakini roho yako ikikusuta,
 
Huyo aliyeropoka naye alivyoulizwa hana evidence upo????Tusikubali kutumika,tusikubali kudhalilisha watu wengine,tuwe firm kukataa siasa chafu.Tulumbane kwa hoja si matusi wala kudhalilishana.

Nchi yetu sote.Hakuna msafi duniani.Hata huyo anayemtuhumu Lowassa akipewa nafasi atakula zaidi ya Lowassa.

Kila kitu kina sababu zake.
 
siku hazi fanani! suala ni kwamba hakuwa hayupo vizuri na bahati mbaya wasio na ustaarabu waka spread as fitina' sio cha ajabu kumtokea yeye na nikitu cha kawaida ila tatizo watu wanapo oppose ndio inatoa tafsiri
mbaya na pia kama afya haikuruhusu kufanya kitu na kung'ang'ani ndio aibu zenyewe zinapo tokea

Kwa hiyo mtu asipokuwa vizuri halali yake kuzushiwa ujinga???Hivi JK alianguka mara ngapi jukwaani akiwa kwenye kampeni???Kuna mtu alimzushia jambo???Kuna mtu alimkashifu.

Jamani ugonjwa siyo kifo,hata yeye kama anaona anaweza kuongoza mwacheni ajinadi,matusi hayasaidii.Tanzania yetu sote.
 
Huyo aliyeropoka naye alivyoulizwa hana evidence upo????Tusikubali kutumika,tusikubali kudhalilisha watu wengine,tuwe firm kukataa siasa chafu.Tulumbane kwa hoja si matusi wala kudhalilishana.

Nchi yetu sote.Hakuna msafi duniani.Hata huyo anayemtuhumu Lowassa akipewa nafasi atakula zaidi ya Lowassa.

Kila kitu kina sababu zake.

Lowasa hatufai
full stop
 
Kwa hiyo mtu asipokuwa vizuri halali yake kuzushiwa ujinga???Hivi JK alianguka mara ngapi jukwaani akiwa kwenye kampeni???Kuna mtu alimzushia jambo???Kuna mtu alimkashifu.

Jamani ugonjwa siyo kifo,hata yeye kama anaona anaweza kuongoza mwacheni ajinadi,matusi hayasaidii.Tanzania yetu sote.

alizima ila sio kujiharishia
 
Lowasa hatufai
full stop

Hata MAGUFULI hatufai Period.Nenda kaulize waliofanya naye kazi,waliopishana naye,na waliompinga waliishiaje???

Pili ni mwizi tu na mtafuta pesa zaidi ya zile alizozichuma kwa kupitia njia zile zile walizofanya wenzake.Bilioni 262 zililipwa wakandarasi hewa yeye kama waziri nani alilipwa??Ununuzi wa meli chkavu ya mwaka 1970 kwa bilioni nane,nyingine nani alipewa???

Uuzaji wa nyumba za serikali kwa bei poa pamoja na kupewa ushauri wa kutoziuza bado aliziuza sababu yeye ni waziri na anachosema ndicho mwisho,akahonga na wanawake zake pamoja na ndugu zake.

Ndugu hata huyu hatufai kamwe.Kama ningekuwa na uwezo basi wote hawa wawili walipaswa kuwa nje ya kinyang'anyiro cha kugombea.
 
dawa imekuingia! poa poa 

Dawa ipi??Huna facts wala evidence,unapaswa kunyamaza.Pili heshima iko pale pale tunatakiwa kufanya siasa safi zenye tija,tuache siasa za kuchafuana na kudhalilishana.Mnaona ni kitu chepesi sana kumdhalilisha mzaziwa wenzenu,imagine ni mzazi wako.

Vijana acheni siasa za chuki,hata huyo aliyeropoka ameulizwa hana evidence zaidi ya kupayuka kwenye stage.Ambayo image yake atatembea nayo maisha yake yote.

Nadhani kama sindano imekuingia vizuri maana ungekuwa na facts na evidence ungezitoa ila huna ni kati ya wale wale wasio na heshima na adabu.

Siyo kila kitu tunatakiwa tushabikie,vingine kamahatuna evidence na facts tuache.Tanzania yetu sote,na kuna maisha baada ya uchaguzi.
 
ww mbona unashabikia haramu na unajua kuwa ni haramu na unajua kuwa hawezi kupita hata akalale nec
 
Sishabikii haramu,ni mpumbavu tu hatajua nini ninachkieleza hapa.Haijalishi humpendi au unamchukia mtu kwa sababu zako binafsi,lakini bado kuna UTU na UBINADAMU.Kuna wengine hata shetani atatukana siku ya mwisho kwamba yeye hakututuma,basi tusifike huko.

Usilolijua ni kama usiku wa Kiza.Nani alijua yule kijana Katibu wa CCM wilaya ya Ilala angekufa juzi??Mbona bado kijana na afya tele??Kwanini asiwe huyu tunayemtukana majukwaani na mitandaoni???

Jamani UTU na UBINADAMU,UHAI na UZIMA atoaye ni aliyetuumba.

Leo akija akisema ajidhaniaye msafi na atupe mawe kumponda Lowassa hakika kuna watu tutarudi nyuma kwa kasi ya ajabu.

Tujufunze haya yaliyotokea,wote waliowatukana watu kwa umri na udhaifu wao leo hawapo duniani au hali zao ni Mbaya zaidi kuliko za waliyemchora na kumdhihaki,Mama Celina Kombani,John Komba,huyu Katibu wa CCM wilaya ya Ilala Charles,yule mwigizaji wa ze-Comedy akak Vengu tujiulize kwanini iwe hivyo???

Kuna somo linatutaka tulifuate,Mungu ndiye muweza na anayemjua kila mmoja wake usafi na uchafu wake.Yawezekana UCHAFU wa Lowassa ni mdogo sana kulinganisha na UCHAFU wa wengine.

Ninapenda UTU,HESHIMA,na UBINADAMU maana hivi vyote vyatoka kwa aliyetuumba
 
Back
Top Bottom