Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika


Kuna Clip Ilikua inarushwa Magufuli Aki Sema Nitaunda Maakama ya Mafisadi ili Majizi ya Fungwe Haraka. siku izi Kale Kasehemu wameka Edit.

Nikacheka Sana Wakubwa Wachama Wamesha Mwambia Dogo. Tumekuweka Sasa unataka kuchokonoa Mirija Yetu. Teh teh teh.
 
Umekuwa kirusi cha mzee wa Parkison's
 
Hivi wanaoenda kwenye mikutano ya ccm huwa lazma wavae sare???

Hapo ndio napata picha ya wananchi na wanaosombwa kwenye magar lazma angalau utupie sare
 
Hawa watu walikuwa wana subiri muda muafaka wa kutoa ya moyoni. Kumbuka kuna ile timu ya Lowassa ya watu 30 ambayo alisema ange hama nayo.Timu ile ipo ndani ya CCM na sasa inaanza kufanya kazi na kutoa hukumu kwa Magufuli. Namshauri ndugu yangu Magufuli aanze kutafuta Uraia hata hapo jirani Burundi ili akafiche aibu atakayo kwenda kuipata soon. Chato na Burundi sio mbali sana anaweza kuingia na kutoka usiku kwa usiku.
 
Mungu ameyachanganya lugha ili kuwaepusha watanzania na udanganyifu wao. Yasambaratike tu maana tumechoshwa na ubabaishaji wao.
 
Kazi ipo na bado.......
 
Dr. Makufuli asimlaumu mtu ajilaumu mwenyewe kwa kujiunga na M4C kiujanja.
 

View attachment 290426

Mwaka huu atakimbia hata kimvuli chake.
 
Hahaha upinzan naona mmeishiwa na bado tare25 ad mtakimbia jamvin .angalia mktano wa geita sasa iv c mafuliko c sunami nizaid ya sunami .kamat tendaj ya kampen yote ipo na inafanya kaz so peleka hiyo hoja hko ukawaaaaaa

Nashindwa kuwaelewa, mara mseme mafuriko/tsunami etc sio kura, mara mseme mafuriko hayasaidii, sasa hapo ndio umeandika nini???
Japo unajua fika mbinu mnazozitumia ccm kujaza watu kwenye kampeni zenu.
 
Magufuli Leo analeta mauaji ya Rwanda katika kampeni huyo mtu si mzima amechanganyikiwa mfuatilieni vizuri anadai Tanzania ya magufuli,ndio nini haswa!?
Magufuli Mimi nitafanya hili na lile,Najiuliza ameshachaguliwa?Naona karibu atavua nguo tuthibitishe ni yeye.
 
Kuandika habari sio kuandika tu. Lazima ujue unaandika kuhusu jambo gani na kwa wakati gani. Unatukanwa kutokana na kuandika udaku, uzushi, kashfa zisizo na ukweli na mambo kama hayo sehemu ya siasa ambayo watu wanatumia akili nyingi, muda na mali zao kujadili mambo ya maendeleo. Ni mbaya sana kufikiria kwamba wenye kupenda mageuzi ya kimaendeleo hapa Jamii Forum kazi yao ni kutukana. Kumbuka JF wengi ni Great thinkers na nina amini hivyo nikijua hata wewe ni mmoja wapo, Sasa unapoleta habari za mzaha mzaha na habari zisizo na tija yoyote katika kulisukuma kurudumu hili na maendeleo sioni ni kwanini usitukanwe. Tujifunze kukubaliana na hali tuliyo nayo japo wakati mwingine itikadi zetu zina tofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…