Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Kwenye ukweli sema ukweli sio unaweka unazi hadi unaongea uwongo,Milito alichezeshwa beki wa kushoto.Mara nyingi Pep alivyokuja alikuwa anampanga Sergio kama defensive midfielder Toure akawa anachezeshwa kama beki wa kati wakati Pique & Puyol wameumia au wana kadi kama wanavyochezeshwa Mascherano na Song kwa sasa
 

bora umwambie ww maana hy shabik mwenzetu kapitiliza, ukisoma Comment zake za nyuma anakwambia hakuna game Barca aliyepigwa huku Busquets akiwa dimbani.
 
Well Barca fan hatuwezi kuwa sahihi kwa kila kitu kaka, jaribu kuwa mvumilivu. Umeona Real Sociedad juzi walivotufanya sasa Real Madrid wanachonga mno!!!!!!
 
bora umwambie ww maana hy shabik mwenzetu kapitiliza, ukisoma Comment zake za nyuma anakwambia hakuna game Barca aliyepigwa huku Busquets akiwa dimbani.
co mimi tu peke yangu,Spain nzima jumlisha Del Bosque,Sergio ndio chaguo la kwanza
 
Sio unazi ni ukweli halisi,wameondoka wengi nilikuwa sina habari unadhani bench wametemwa,eg petit,affelay,hleb,eidur gudjohnsen,ndio maana nimekumbuka hata final 2009 barca vs man utd,silvinho aliewekwa bench sana na ashley cole arsenal,alicheza mechi hiyo,maana aliwekwa bench na van bronkhorst na baadae abidal pale fc Barcelona,ndio maana mimi yaya toure sikumuona gem za barca toka ile final vs man utd alicheza mkoba walioshinda barca 2-0,nikajua kishaondoka,ila kukosea kawaida sio unazi,mwambie jamaa yako aelewe sergio ndie alie7busha yaya akimbie namba ya kiungo,na hata keita ambae nae kahama alikuwa hachukui namba labda ktk king cup au sub kwa xavi ambae umri nae amalizi kila mechi au iniesta nae majeruhi muda mwingine.
 

Yameisha Kiongoz, Sababu ya Barca kufungwa ilikuwa ni ipi? Mm sikubahatika Kuicheck hy Game kutokana na Shughuli
 
Yameisha Kiongoz, Sababu ya Barca kufungwa ilikuwa ni ipi? Mm sikubahatika Kuicheck hy Game kutokana na Shughuli
Ni mpira tu,naona sky news sports kichwa cha habari na wameripoti kuhusu hii mechi teh teh teh
 
Watu hawalalamiki kuhusu wachezaji wa EPL kuwepo ,tunataka wachezaji waliofanya vizuri 2012 ndio wawepo afadhali ya hii kuliko ile ya FIFA.Dani Alves,Marcelo,Gerard Pique,Xabi Alonso hawakustaili kabisa kuwa kwenye hiyo timu

........hakuna mtu asiyemsifia mkewe kwa uzuri/ubora bana!
ila huyu mke anayesifiwa kwa pamoja na wadau wa uefa na fifa yaelekea kweli ni bomba...maana kusifiwa na hivi vyombo viwili kwa pamoja si haba, mashallah. sisi akina kombo na hanzuruni twatumia vigezo gani??
 
kwa upande wangu niliona mapunguf kwa fifa upande wa bek ya kat kumweka Pique aliyechemka,badala ya Thiago Silva aliye shine
na naona Andrea Pilo ametendewa hak yake ukiachia EURO 2012 huyu jamaa pia alkua injn makn ya Juventus kwa pas zenye macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…