Si kosa, Ninacho zungumza mimi ni kuwa na kiu ya kushinda kila game. na si game ya Simba au Yanga tuKukamia ni kosa?
Mfano: Angalia mechi walizocheza Azamu vs Simba, Azamu walicheza vizuri sana,
.Azamu vs Namungo, Azamu alifungwa nyumbani. Angalia hizo mechi utaelewa nichozungumza Mkuu.
una siasa kubwa sana, wenye mpira wao hawataki sio tu Azam, Timu nyengine yyt iwe Juu ya SSC na YNG! Yameshawakuta huko nyuma TUKUYU...