Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Yani eti kweli unasajili wanasiasa wa hovyo hovyo ambao hawajui kujenga hoja bali kutumia hasira na matusi katika kusukuma hoja zao alafu wanategemea waheshimike na kupendwa na jamii!
Kwa usajili huu CHADEMA wasiseme wanamezwa na CCM, wanajitafuna wao wenyewe...
Kwa usajili huu CHADEMA wasiseme wanamezwa na CCM, wanajitafuna wao wenyewe...