Nina imani na Magufuli ila sina Imani na timu yote ya CCM na mfumo wake, tatizo sn
Jifunze kwa Team Lowasa ,hata siku moja hawatazungumzia madhaifu ya Lowasa,bali ni yale mazuri tu,na ndivyo tunataka kwa Team Magufuli,madhaifu yatazungumziwa na Team Lowasa ,na pia madhaifu ya Lowasa yatazungumziwa na Team Magufuli,huwezi kuzungumzia madhaifu kwa mtu wako,wewe utakuwa sio mwana mkakati,lengo kuu la hizi team,ni kuwajenga wagombea wao na sio kuwabomoa hiyo ndio siasa.Hapa tunaongelea mazuri tu ya Magufuli na madhaifu ya wapinzani wa Magufuli,ukitaka kujua huu ukweli nenda Team Lowasa halafu jaribu kuzungumzia madhaifu yake halafu uje utupe majibu.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
CCM oyeee. Tupo nyuma ya magufuli.