wiz_via_swai_tz
Member
- Apr 15, 2017
- 20
- 8
penda sana cr7
Hehehe nipo Mahangaiko nchi ya magufuli mengi
hahahaaHehehe nipo Mahangaiko nchi ya magufuli mengi
Napita pita tatizo skuizi kila sehemu bashite so huwa napita kimyaa.. Asanteeehahahaa
owkey, nlikumiss sana thanks lakin kwa kuonekana mara moja moja , endelea kupambana mam

hahahaNapita pita tatizo skuizi kila sehemu bashite so huwa napita kimyaa.. Asanteee![]()
![]()
hahaha
usjali, ukiwa unapita uwe una nistua maana nakuwa worried ukiwa haupo
ayaaa