Naomba kuuliza kidogo
1. Mfano nna 5mil je nna weza sajili kampuni nikaweka iwe na mtaji wa 1bilion?
2. Je minimum shares mtu anaweza kuwa nazo kwenye kampuni ni ngapi? Ikiwa kampuni ni wamiliki wawili?
3. Je mwaka wa kulipa kodi ya kampuni ni mwaka wa serikali au mwaka wa kampuni i.e. tokea kampuni iundwe?