Timiza malengo yako mkuu

Mark mod

JF-Expert Member
Mar 10, 2019
291
550
Umewahi kusikia “ The Principle of a great Seed?”

Mbona kama mimi ndio naandamwa na hizi changamoto kila siku kuliko wengine?”,”Mbona kila siku maadui wanazidi kuongezeka upande wangu?”,”Inakuwaje wema wangu hauonekani ila nikikosea kidogo ndio inashikiwa bango?”,”Mbona kuna watu kila siku wananiwazia kushuka kwangu na wanatamani anguko langu nami huwa nawatakia mema?”,”Mbona bosi wangu ananichukia bila sababu na najitahidi kufanya kazi kwa bidii?”

Mara nyingi kila mwanadamu huwa anatamani kuwa mtu mwenye utulivu na anayependwa na kila mtu na mara nyingi huwa tunafikiria kuwa kwa kufanya vitu fulani basi tutalazimisha watu watupende na watuseme vizuri, bahati mbaya haiko hivyo.

Kuna kanuni inaitwa “The Principle of A Great Seed”. Kanuni hii inasema kuwa “Watu wengi huchukia mbegu na kutaka IFE sio kwa sababu ya ukubwa wake wa SASA bali kwa sababu ya ukubwa wa MTI ambao utaota baada ya mbegu KUPANDWA”.

Sio kila kipingamizi na vita unayopitia leo ni kwa sababu ya kile unachofanya ama ulivyo LEO: Ni kwa sababu ya kule unakoelekea KESHO. Badala ya kutaka kila mtu akupende na kukusifia wewe jikite katika kuifanya mbegu yako iote kwa KUFANYA jambo sahihi KILA siku.

Kuna watu wanajaribu KUKUFUKIA ili usiote ila wasichojua ni kuwa wewe ni mbegu lazima UTACHIPUA TU siku moja. Usishangae mbona wengine hawaguswi ila unaguswa wewe: Hii ni kwa sababu MBEGU ISIYO NA UKUU huwa inajulikana hata kabla haijapandwa. Hata wadudu huwa hawashambulii MBEGU ILIYOOZA, huwa wanatafuta NZIMA YENYE AFYA ZAIDI.

Mbolea yako ya kuchipua ni CHUKI ZAO, mbolea yako ya kuchipua ni UZUSHI wao,mbolea yako ni HILA zao.Wewe ni MBEGU yenye UKUU ndani yake. Kumbuka mbolea ya SAMADI huwa na HARUFU mbaya ila ina VIRUTUBISHO ndani yake. UTACHIPUA TU!

Hata watakakachokufanyia na kusema leo jiambie: HII PIA NI MBOLEA ILI NIKUE.

See You At The Top

TIMIZA MALENGO YAKO.
 
Nanauka on duty..barikiwa..

Similar Discussions

Back
Top Bottom