Times Up! Hadji, Nyoni and Mtasiwa must go Now!

Unfortunately Mwanakijiji they wont resign and no 'force enough' to push them out
 
Mkuu Mwanakijiji, I agree the whole leadership @ MOHSW has to go, for clearly mishandling a very simple Intern issue in the beginning which ballooned to the Doctors crisis we have now.

But the MPs POSHO, is where heads really need to roll. PM & Speaker have both lost credibility by paying MPs, new rates without the president's signature. This is not only wrong, but actually criminal.

Pinda amekwenda bungeni na kusema serikali itaongeza posho, na Spika akamwamini na kuongeza posho. Lakini Rais anasema hajakubaliana na hilo, kwa hiyo PINDA hawezi tena kubaki kuwa kiongozi wa serikali bungeni sababu amepingana na serikali wazi wazi bungeni kuhusu POSHO.

Nadhani Mwalimu Nyerere aliforce hand ya Malecela kwenye same scenario ya kutofautiana na Rais kwenye mambo mbele ya Bunge.

anyways, sabau TZ hatuna mambo ya uwajibikaji wala kufuata sheria, mambo yatakuwa mdundo tu.

MKULLO Also has to go. SERIKALI inafilisika sababu MOF inaongozwa na kichwa maji. Napendekeza Abdallah Kigoda apewe hii wizara ASAP ili kuwe na mipango madhubuti inayoeleweka kutoka kwa mtu aliyebobea kwenye uchumi na mwenye track record ya kulead Planning Ministry wakati wa Mkapa na kuonyesha uwezo wa hali ya juu.

May Almighty God Bless Tanzania

Sikubaliani na pendekezo lako la Abdallah Kigoda kuwa waziri wa fedha, that will be a disaster na Kikwete nadhani analijua hilo na hata siku moja hawezi kumpa docket hiyo kwani siyo muadilifu!! Hizi lawama zote za mikataba mibovu ya madini yeye ndio alikuwa beneficiary alipokuwa waziri wa madini na athari za mikataba ile tumeziona kwa nchi yetu kupoteza mapato makubwa sana. Wizara ya fedha inatakiwa kuongozwa na patriot ambae pia ni msomi But Kigoda hana uzalendo if we have to go by his past record!!
 
Lengo la serikali ni kuwachosha madaktari kwa kudrag the strike. Madaktari need to come up with a counter move.
 
... hiyo mijitu mitatu uliotaja hapo juu ni mzigo usiosemekana kwetu sisi walipa kodi na janga linalotukodolea macho kama taifa kadiri wanavyoendelea kupata japo ka-sekunde zaidi kwenye hizo ofisi zetu!
 
It all hinges on the political calculations of risks and disadvantages engaged by the upper echelon in the political matrix. If my predictions are correct, I have an intuition that the three won't be fired simply because the apex of the political hierarchy are still confident that they got the game right.
 
We have waited and the wait is now over. These three must resign if they have any sense of duty to our nation left in them. They must be sacked if that sense of duty is left in the hearts of hearts of their superiors. For how long shall a nation be forced to kneel before the alter of the corrupt ruling elite? For how long shall incompent and mediocre leaders be left to reign as there is no one in the whole nation who can take them to task?

The three top officials at the MoHSW have shown that they are untouchable and the protection they enjoy within the government is absolute. Since the beginning of the current doctors' strike the trio have continue without a sense of 'urgency of the now'. Once the three are sacked/resign then the constructive negotiations between the striking doctors and the government can start and I believe the firing/resignations will assure the doctors that the government is serious enough and will make them return to work while the other issues are being hammered out.

So, time is up; its time for you three to go!

Are you talking of the appointing authority? The jks government? A cruel regem!

We should agree that it was not legitimately placed in position and it has now proved that it has even futher lost its legitimecy in most of its functions.

Should we silently suffer and die? A cowards death? Where are the sons of our country.................
 
2015..............where are you? so that we can get rid of these corrupt leaders? where are you our friend we need your help!
 
wafuatao wanapaswa kuwajibika kwa haya ! hawa kina Mtasiwa , nyoni na Mponda ni matokeo ya hawa wafuatao
Lowassa kama mshauri na rafiki wa kikwete miaka lukuki inadaiwa huyu alimshauri Kikwete kugombea nafasi ile analaana sana huyu.
2.rafiki zake Kikwete ! hawa walimtia moyo na kumsukuma akachukue form.
3.Mkapa , huyu alishindwa kuzuia movement haramu za wanamtandao dhidi ya watu makini na hodari.
4.Rostam Aziz, anatajwa kama king maker ! fisadi papa , alitoa pesa zake binafsi kuhakikisha zinamjenga Jk .
5.wanaccm ! hawa wote wameshiriki kulileta hili janga katika taifa ! walitumia mitandao yao kuhujumu fikra za WaTz....leo hawana haki ya kulalamika na kutoa machozi wameyataka.
6.Magazeti hasa Daily News , habari leo, uhuru na ndugu zao wote walishiriki kujenga fitna kuwa Kikwete ndi chaguo la wakati wote.
7.Askofu Kilaini, Shekhe Yahya Hussein na Askofu Gamanywa , hawa wamekua wakitumika kumpamba kikwete kuwa ni chaguo la mungu ! leo taifa laangamia kichwa chini.
8.BAKWATA ! walitumika na ccm vilivyo na kwakua ccm inajua uelewa mdogo wa viongozi wengi wa Bakwata basi wakatuletea maafa haya.
9.Usalama wa Taifa na Takukuru hawa walitumika kubariki wizi ,uonevu na upendeleo wakati wa uchaguzi mkuu ni sehemu ya tatizo.
10.Tume ya taifa ya uchaghuzi ! hawa watalaaniwa huko walipo ! walihujumu daftari la wapiga kura kwa faida ya Kikwete na ccm ! laana itawala.
11. Agostino Lyatonga Mrema, babu wa UpdP, Chipeta, Nakaaya Sumari, Mbatia James hawa ni wanasiasa waliotumika kuvunja moyo wanamageuzi kwa matendo yao , fikra zao na hakika laaana ipo juu yao.

kwakua JK aliingua kwa fitna ya makundi hayo daima hajawahi kuwa chaguo la waTz , amekua hatendi kwa faida ya taifa bali faida ya waliiomuweka ambao wengi siwaadilifu.

JK hana jeuri ya kuwawajibisha hao kina mponda kwakua nae ni dhaifu kiuongozi kuliko hao.
 
hapa umeongea mkuu... Kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? Kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!

rejao na wengineo;
huwezi kuhalalisha vifo vya watanzania kwa kisingizio cha mfumo hata siku moja. Huo mfumo unaouongelea umewekwa na nani? Toka jk aingie madarakani amewahi kuvunja wizara mara ngapi? Ni nani kasema kwamba kwasababu wao wamekuta mfumo, kwahiyo wasilaumiwe kwa lolote? Ebu ifikie kipindi tuwe na ubinadamu hata kama unalipwa wewe na ff na serikali ili mfanye kazi ya kutetea madudu wanayofanya. Hivi ni kweli ukiingia madarakani na kukuta matatizo utakaa kimya kisa umeyakuta?

Ndiyo maana wkt mwingine ndoto ya rais wetu ilikuwa ni kuwa rais lkn hakuwa amejiandaa kuufanyia nini nchi tofauti na kuuza sura na kuwa ombaomba hata watanzania sasa hatuna thamani tena si tu ndani ya tz na hata nje ya tanzania.

mponda, pinda, nkya, nyoni, mtesigwa ni lazima waachie ngazi kwani ni watu wengi sana wameathirika na maamuzi yao na kushindwa kutimiza majukumu yao. Ni watu wengi sana wameathirika na mgomo wa madaktari, hivyo serikali haina budi kuwajibika katika jambo hili. Ni muda gani unaotaka tuwape wajirekebishe kwa lipi? Hii miaka 6 yote imekuwa ni kilio kwa watanzania na hakuna nafuu yoyote. Bado unaendelea kutetea hoja hafifu kwamba wanahitaji muda, muda wa nini? Watanzania wanateseka kwa maisha magumu na hilo halikutosha zaidi wakaona ni kuamua kutofikia muafaka na madaktari ili watz wazidi kupoteza maisha. Bado unakuwa na ujasiri wa kusema hawa watu waendelee tu kwasababu ya mfumo?

rejao na ff; mnalipwa bei gani ktk hili mnalolifanya ili mimi na wazalendo wengine tuwalipe ili muweze kufunguka macho na kuona yanayoendelea nchini? Hivi mko dunia gani nyie? Huu ujasiri wa kutetea upuuzi mara kwa mara mnautoa wapi? Je hata nafsi zenu haziwashtaki kwa kazi hii mbaya na yenye gharama kubwa kwa watanzania walio wengi?

Nami naspoti wazo la hawa jamaa kuondoka.
 
Hapa umeongea mkuu... kuondoka kwao siyo suluhu ya tatizo lililo! Tukumbuke kuwa hawa viongozi wa sasa siyo kwamba wao ndio wametengeneza hii structure ya wizara ya afya iliyopo. Kila kitu kilikuwepo, they have just taken over..they are unlucky sababu haya mambo yameibuka kipindi wao wakiwa ndio viongozi wa wizara husika. Yangeweza kumkuta yeyote ambaye angekuwa anahold office kipindi hiki. Tuwape muda, hili suala especially la miashahara na posho, linaaffect serikali yote kwa ujumla! Imagine leo doctorz wanalia unawaongezea wanachotaka...what do u expect? kesho waalimu watalia, wahasibu watalia, wakandarasi watalia na hata wahudumu!! Chamuhimu ni tuwape muda viongozi husika...hope watafika pazuri na pande zote mbili zitaelewana!

Mkubwa kuna wakati kidogo hekima inakujia...lakini kweli wana dhamira safi ya kufanya haya unayoyasema? Kama dhamira hiyo ipo hivi ni kwanini bado wanapiga propaganda kuwa mgomo umekwisha!!!...mgomo haukuwa na madhara!!!!...yule sio daktari!!!!!....Hivi kweli watu hawa ni timamu? Tena unajua tutachukua wanajeshi watafanya kazi tutayumba lakini kwa muda.!!!!...kweli dhamira ya kufanya majadiliano na mabadiliko kwa maneno ya kejeli na ubabe ipo kweli?
 
Je huyu JK naye tusemeje, alliondoka kwenda davos Uswisi na Ethiopia mgomo umeanza karudi usiku wa juzi kesho yake badala kufanyia kazi walau hata kutoa kauli kama raisi yeye kaamkia kwenda kufungua tawi la benki ya FNB, JAMANI MIMI HAIJANIINGIA KICHWANI KABISA inamaana ufunguzi wa tawi benki unamaana na umuhimi sana kuliko vifo vya watanzania na mgomo wa madaktari waliompigia KURA, ??????
huyu Vasco ananiudhi natamani nimtukane matusi ya nguoni, hana huruma hata kidogo.
 
Mwanakijiji,
Things are not working like that. You can't force someone to resign or to leave the office. For some guys resigning means you are weak, you can't rectify/solve problems at hand. Let's wait.. .its up to them to evaluate n make the so called hard decision depending on their concious!
With the current on going situation, I think we can't blame just one part. Both parties doctors n government should be blamed for failing to reach into an agreement!
The three devils have no conscious at all, hence the only way is to evict them.
 
Katika nafsi yangu nimeamua kubadilisha mwelekeo wa historia ya nchi yangu, nakili maandiko haya , watu watakuja yakumbuka, 2012 ni mwaka wa mwisho wa uhujumu na unyanyasaji ! ni mwaka wa mwanzo wa mwiasho wa propaganda za amani kuwa kisingizio cha kuwaibia wananchi, na mimi nitathibitisha hilo ! ....... ninukuu ! nimechoka !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
I may be fooled easily but stupidity is norm to the jesters. To prove it, you have to make them proud that they succeeded in foolishness. And those clapping? ...
Opportunists always clap their hands to please their immediate masters.
 
Mzee Mwanakijiji

who fire who? The whole government is mess, you can`t tell if Mr. President has courage to fire anybody in his cabinet, I am very disturbed by Mr. President the way is handling the Doctor`s crisis is as if he does not give a shit, this is the same man who was advocating better life for Tanzanians, we are suffering because of his incompetence and poor leadership, I don`t understand those who stand behind this man, it is personal matter who to support, but myself I am done, If he does not care for mama wajawazito and poor children what else left on his heart? Is this what we have been fighting to put this man in the office of president? I will remain CCM cadre but I can`t wait to see this man go for good. To all my friend who we clashed during election I am deeply sorry I never knew what I was advocating for, I am very very very disappointed.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Nchi hii kujiuzulu sio utamaduni wetu. Hawa sio wa kwanza kuharibu, wapo viongozi wengi tu wamechemsha lakini ikija suala la kuwajibika hawako tayari. Kumbuka ni mara ngapi tumejiuliza "kwa nini asingejiuzulu"?
 
Back
Top Bottom