Nadhani hapa alikua akiambiwa yeremia mwenyewe na si wanadamu wote....kwa maoni yangu lakini....NGOJA TUWEKE MAMBO SAWA. ... TUSOME BIBLIA TAKATIFU.. UTAELEWA AN GALAU
Yer 1:5...
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Nakubaliana na wewe 100 100Time travel is about prediction of future while incarnation is about birth and death.. Though in same facts can be related but not relatively the same
UsinisahauNitawaletea uzi kamili nilivyo experience masuala ya kiroho na nilivyofanikiwa ku master kufungua code Spiritual
Nitakutag ukiwa tayari!
Nasubiri huo uzi.Nitawaletea uzi kamili nilivyo experience masuala ya kiroho na nilivyofanikiwa ku master kufungua code Spiritual
Nitakutag ukiwa tayari!