Time to say goobye to Windows XP

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
Goodbye-to-Windows-XP.jpg

Kampuni ya microsoft iko mbio kuakikisha mpaka mwakani watumiaji wa windows XP OS watakuwa wameupgrade to windows 8 kwan mpaka sasa kuna 37.7 percent ya wanaotumia windows xp kote dunian.
Wanasema "people are not forcing into other OS's but are convicing to do so kwan kutokufanya hvyo ni sawa na kuwa na gari bila spea"
 
Addicted to Ubuntu Debian, an open source OS. Karibuni wapendwa...
Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.

Zorin OS 7 Screenshots

  • |
    |
    |
    The default Zorin OS desktop

  • |
    |
    |
    Office software in Zorin OS

  • |
    |
    |
    Multimedia software in Zorin OS

Look Changer

  • |
    |
    |
    Zorin Look Changer (Premium)

  • |
    |
    |
    The Windows 7 look in Zorin OS

Zorin OS - Home
 
Last edited by a moderator:

Wallahi MziziMkavu umenizingua na hiyo ZOrin OS! Nisikusumbue na maswali ila nitai-google niifahamu zaidi. Naona itakuwa os kiboko sana. Eti haina haja ya antivirus?
 
Nimeiona, na yenyewe ni UNIX sio? Nimeona compiz cube, dock na kadhalika. Hata Ubuntu debian haihitaji antivirus na naitumia mwezi wa sita huu...
 
Last edited by a moderator:
Wallahi MziziMkavu umenizingua na hiyo ZOrin OS! Nisikusumbue na maswali ila nitai-google niifahamu zaidi. Naona itakuwa os kiboko sana. Eti haina haja ya antivirus?
Mkuu HYGEIA Tena ipo speed wala hufikirii kama Computer yako itaingia Virus wala Spyware kitu Heavy hiyo mkuu jaribu utaoana wewe mwenyewe.

Last edited by a moderator:
Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.

  • .....

Zorin OS - Home

Hizo zenu nazitilia shaka...zaweza kuwa zimeungana 'module/function' ya FLAME au PRISM ya akina Snowden.

kiukweli mimi nitakuwa wa mwisho kuhama... XP..maana dude hili lina beba programme zote ninazohitaji...wa halicheui ka ma W7 na wenzake.
Sema inanifilisi kwa 'antvirus'

Hizo zenu nazitilia shaka...zaweza kuwa zimeungana 'module/function' ya FLAME au PRISM ya akina Snowden.

kiukweli mimi nitakuwa wa mwisho kuhama... XP..maana dude hili lina beba programme zote ninazohitaji...wa halicheui ka ma W7 na wenzake.

Mkuu MpigaKelele wewe chelewa chelewa utamkuta mtoto sio wako tena watu tupo mbele wewe bado upo nyuma khaaaaaaaaaaa na hiyo Windows XP yako? Acha usingizi wa kupiga kelel hizo...............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MpigaKelele wewe chelewa chelewa utamkuta mtoto sio wako tena watu tupo mbele wewe bado upo nyuma khaaaaaaaaaaa na hiyo Windows XP yako? Acha usingizi wa kupiga kelel hizo...............

Tatizo mnashidwa kunishawishi kuwa hizo OS zenu hamjazi'loop' na FLAME au PRISM....suala hapa ni security na compatibility...mnanihakikishiaje usalama wa mafaili yangu na mawasiliano yangu kwenye net na je itaweza kubeba program zangu zote au itazicheua?
 
Mkuu MpigaKelele OS Zorrin ina mpangilio wake kwa kila kitu kama una hard disk yako ina nafasi weka partition hard disk kwa ajili ya OS Zorrin kisha unaweza kutumia Windows XP pamoja na OS Zorrin huo ndio ushauri wangu.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako mkuu....mimi nina swali kidogo kuhusu hii zolin os, hivi hii zolin os inaingiliana software na windows?
 
nimeona kuna zorin lite minimuma inataka ram 128mb kumbe kuna pc za zamani zinaweza run hii zikawa very fast
 
Mkuu mzizimkavu heshima kwako....nimeshawishika na hii zolin os ila nina maswali yafuatayo....1.hii zolin os ina share software na windows?
2.ukifanya kazi katika zolin os kisha kazi hiyo ukaitoa na kwenda nayo sehemu nyingine kwa maana ya kuitoa kazi hiyo kwenye windows je kazi hiyo kwenye windows inaweza kufunguka na kama kuna masahihisho nawezakuyafanya?.....natanguliza shukrani mkuu mzizimkavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom