asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Ndiyo,hata ulinzi wa HANGA ni training! Usiniulize HANGA nini?
Acha ubishi wa kitoto , mtu ana Anemia ya kuweza kumuua( Anaemia in heart failure , Anaemia with brain hypoxia ,Anaemia with active bleeding n.k) hawezi kustahimili hata baridi ,sembuse huo ulinzi?
Hapo lazima mtu awajibishwe , na unaweza kukuta alikuja na cheti cha Daktari kinachoonesha hawezi kufanya mafunzo kwa hali yake ya Afya ila ndiyo akakutana na watu vichwa ngumu kama wewe mkampigisha mazoezi kujidai ndiyo ujeda.
