Mbona huelewi wewe? Taarifa ya Dr,inaeleza sababu ya kifo ni upungufu wa damu! Hakuna sehemu inasema mazoezi magumu!upungufu wa damu ilitosha kumuondoa kwenye mazoezi magumu , ina maana kuna uzembe ulikuwepo wakati wa medical examination.
Nimeipenda sana hii mkuu !
Umenikumbusha mbali sana, sisi kuna watu walifanya noma katika kombania yetu na tukavamiwa usiku na maafande. Watu wakachujwa na wakapata wabaya wao. Basi walibebeshwa vitanada vyao kuzunguuka hanga tokea saa sita usiku mpaka saa kumi alfajir na watu wakaendelea na mchaka mchaka kama kawa ! jeshi si kucheza ndombolo ya solo !
Mbona huelewi wewe? Taarifa ya Dr,inaeleza sababu ya kifo ni upungufu wa damu! Hakuna sehemu inasema mazoezi magumu!
(cheo au nyadhifa) havisaidii kitu kupima na kuelewa mambo au treatments za JKT-kwasababu unaweza kuamua kuwa bias ili kutetea mlengo wako.1. Reasoning, logic, rationality ndio zina define wewe ni nani. Ulipita kama nani????!!
Kujifunza ni zaidi ya kusoma...yahusisha kutenda,kubuni,kukosea,n.k2. Unaweza kuamua kujifunza kwa kusoma humu au kwa njia zako au hata ukaamua kuendelea kubisha tu, hicho ulichopitia wewe na wanachofanya hawa ni sehemu ndogo sana ya.unachoita mafunzo ya kijeshi. Yaani kwa akili yako unaamini wakufunzi wanafanya yao "juu ya dhana ya mafunzo" bila hata kuwa wanafuatiliwa, unajua military intel???!!!
Unayelalama ni wewe uteteaye JKT,JKT ni shida tupu(re-read my preceding comments).3. Kufa na kuvunjika sababu tumejadilia hapo juu rudi soma. Waliobakwa na kuripoti na hakuna kilichofanyika badala ya wewe kulalama weka japo fununu ya tukio mkuu; taarifa hazijaripotiwa ni taarifa zisizokuwepo unless stated otherwise!!!!
Talking the same thing too much is boring...hakuna cha load,duration na blah blah zako, JKT iwe hiari,haisaidii sana wakati huu wa science and technology.4. Mazoezi yote magumu na mepesi yanakakamaza muscle husika flexing and extensing, the load on it and duration are the determinants!!!!! Muscle thickness, bone density, blood supply in relation to sugar and oxygen etc hayo ndio yanataka vipimo sasa ili kujua abnormals, disabled, less abled and tough going individuals!!!!
was this a contest, i didn't know? Find a balance of what you understand and can produce, than feeling you know while failing to spot what exactly people need to know.Bushing around and you keep tailing hunh!!!!
(cheo au nyadhifa) havisaidii kitu kupima na kuelewa mambo au treatments za JKT-kwasababu unaweza kuamua kuwa bias ili kutetea mlengo wako.
Kujifunza ni zaidi ya kusoma...yahusisha kutenda,kubuni,kukosea,n.k
Kubisha(ruksa) ni sehemu ya kujifunza pia...hoja mahususi na majibu halisi huondoa ubishi.
Akili na imani yangu ni zaidi ya upeo wa mawazo yako ujitahidiyo kuyabana.
Military Intel...ni kauli na msemo tuigao kwenye movies na nchi zilizoendelea.Kiuhalisia JKT hasa kwenye hii program hakuna military discipline,guidance na blah blah nyingine ujitahidizo kuniaminisha.
Unayelalama ni wewe uteteaye JKT,JKT ni shida tupu(re-read my preceding comments).
Talking the same thing too much is boring...hakuna cha load,duration na blah blah zako, JKT iwe hiari,haisaidii sana wakati huu wa science and technology.
Wingi wa wanajeshi si ushindi wa vita.
Ukakamavu si uzalendo...serikali isaidie watu wakakamae akili na ulewa kuliko miili,kutiana vilema na kuuana.
was this a contest, i didn't know? Find a balance of what you understand and can produce, than feeling you know while failing to spot what exactly people need to know.
Childish...!
Arguing with a child!!!!!
You do this mr adult-gentleman???!!!
You are either a hopeless adult or a retarded????
Blah blah's nyingine zipotezee tu !!!
Don't panic if you truly believe in your instincts. No need to show everybody how fool you're.
Kindly please send your insults to my inbox. Because you're going to earn nothing when you alter this thread to a pool of abusive words.
I once thought you're a child,now i realise you're so full of ----.
WELCOME TO PRIVATE MESSAGES.(PLEASE)
Baki kwenye mada kuu tuendelee kuchangia hoja.Daaanh maneno meengi kama keki ya kicheni pati!!!!!
Si nshakuambia potezea blah blah kama ulivyoziita na sasa unamualika fool PM for insults???!!!
Everybody reads here not in Private boxes, keep exposing my foolishness just here smart grown less developed fella, got anything private with me???!!!!
Ulipita JKT na ndio uko hivi halafu unataka wengine wasiende, tutajenga taifa au bendi ya mipasho!!!!
Kuliko PM weka huyu memba kwa ignore list mkuu once and for all!!!!
Baki kwenye mada kuu tuendelee kuchangia hoja.
Vioja na kebehi ndizo zipeleke kwenye inbox,rahisi tu.
Acha kulalamika na kuomba msaada pasipo hitajika...unalialia tu!!
ubishoo mwisho chalinze
Dhana potofu.
Ufahamu hautegemei cheo au nyadhifa ya mtu isipokuwa rationality, logic na reasoning capacity.
Uko dunia gani wewe?hujasikia waliobakwa,waliokufa,waliovunjika na wengine ambao taarifa zao hazikuripotiwa?My point ni kuwa dhana ya mafunzo ya JKT ni tofauti na yale ya JWTZ,lakini wakufunzi wameshindwa kutofautisha hili.
you're just trying to bit around the bush lakini una-fall back to my point...lazima kuwe na kiwango maalumu cha mazoezi kuendana na ustahilimifu wa mwili. Si kila zoezi gumu linakakamaza,mengi yanaua na kuacha vilema.
Wakirudi chipsi zitapumua, lol!ubishoo mwisho chalinze
Wam google na kumtafuta mtu anaitwa Kanali Mtonga, (retired) ndo watajua mtiti wa kuwa kuruta. Ila mafinga usiku mnavuliwa tshirt na mnapigwa nuwa (maji) na baridi lile, introduction to the camp unasahau kama ulizaliwa na mwanamke.
Kwahiyo mtu mwenye upungufu wa damu anaweza kufanya training ya kijeshi?
Now you sound sane after a short drill!!!!
JKT is there to stay as of now!!!!
Medical examination either central or peripheral is the best practice before any physical and psychological induction!!!!
The relationship between JKT and being patriotic is a matter of policy arrangements, the tunnel has to be elongated from school level up to work place!!!! Even a cycle has its own starting point leave alone revamping this service..
Matters regarding, embezzlement, taxation, social services and the likes are the cause of the so you call lack of patriotism, new fronts must be prepared and it is not an overnight process!!!!
What you are against with is what you real want at the end of the day!!!
Good citizens and their leaders are made and this might be a new beggining!!!
Fallacy