OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ngoja wakikutolea posa wewe ndio utajua wapi.
JKT na vita wapi na wapi?je kila nchi duniani ina JKT?
Kama wanataka ku-recruit wanajeshi ili kujiandaa kwajili ya vita basi watangaze ajira,uone jinsi gani wengi watakavyoenda kwa ihari.
Kama wanataka watu wafunzwe ukakamavu basi kiwekwe kiwango cha mafunzo kama ilivyo kwenye elimu na mafunzo mengine.
Ni ujinga kujiumiza kwa kung'ang'ania mambo ya mwaka 47 wakati mambo ya leo ni marahisi na yanaepusha hatari za maisha.JKT ni ushenzi tu.
Hata huko kuna kiwango hawapigwi full mziki hao!!!!!
Tafuta hata ndugu tu kama sio rafiki akupe "udambwi" wa jando kuu!!!!
They are just trained, not hardened for battle!!!!