japo hujamalizia,jibu lako ni sahihi.Tim na Tom ni mapacha,Tom alipomwona Tim mchafu akajua yeye naye ni mchafu akaenda kunawa na Tim naye alipomwona Tom msafi akajua naye ni msafi,akaenda zake kuchapa usingizi!Nadhani sababu walikuwa wakicheza wote, Tom alipomwona Tim usoni kachafuka akajua na yeye pia kachafuka so akaenda kunawa.
japo hujamalizia,jibu lako ni sahihi.Tim na Tom ni mapacha,Tom alipomwona Tim mchafu akajua yeye naye ni mchafu akaenda kunawa na Tim naye alipomwona Tom msafi akajua naye ni msafi,akaenda zake kuchapa usingizi!
kugundua tu kwamba hawa watoto walikuwa mapacha ni sehemu ya jibu!