D dj1000 Member Feb 28, 2014 15 4 May 27, 2014 #1 Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 19,361 14,831 May 27, 2014 #2 mkuu laki nane nakupa na offer ya mpesa
D dj1000 Member Feb 28, 2014 15 4 May 27, 2014 Thread starter #3 Hiyo til ni stand alone au ni kawaida?
Isaya Nehemia JF-Expert Member Jun 6, 2013 555 452 May 27, 2014 #4 dj1000 said: Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,, Click to expand... Nauza til laki 6. Kama unataka nitafute kwenye hizi namba. 0783456044 au 0757638202
dj1000 said: Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,, Click to expand... Nauza til laki 6. Kama unataka nitafute kwenye hizi namba. 0783456044 au 0757638202
mgonjwa JF-Expert Member Dec 2, 2013 514 223 May 27, 2014 #5 mi ninauza laki tano na nusu NO DIscount