Tiktok


Break the matrix Bro
 
Ukute ni jobless na analeta kiburi cha kijinga.

Very sad.
Kiazi kikuu wewe huna akili yaan hujawahi kulipwa na TikTok alafu unaaminisha watu ujinga wako, bladful wahedi kabisa imebidi nitumie lugha ya maudhi sababu unatuona Sisi km mazombi tusiojua chochote kuhusu internet money stupid
 
Umeongea Point safi also na kazia apo kwenye Youtube

Malipo yake ni mazuri kulingana na maada , Aina ya views Hapa we talk about Age ya view why? kama unaongelea mikopo bas space unayo uza kwajili ya Ads ili iwe ya thaman ni lazm viewer awe 35 years n above


pia eneo analo toka viewers mfano ukiongea kuhusu morgage & credit score au insurance kwenye nchi za dunia ya kwanza kama america na europe hizo zina Value kubwa san

Hio kwa uchache🎯 we 2geza
 
Kiazi kikuu wewe huna akili yaan hujawahi kulipwa na TikTok alafu unaaminisha watu ujinga wako, bladful wahedi kabisa imebidi nitumie lugha ya maudhi sababu unatuona Sisi km mazombi tusiojua chochote kuhusu internet money stupid
Mkuu umewahi kuzaa?, ukikuta watu wanasema mwanamke hazai bali anataga wewe utawaambia nini hao watu ili kuondoa ujinga wao?

Kufahamu jambo sio lazima ulifanye, wewe unajua kuwa mwanamke ana zaa na hatagi ila wewe mwenyewe hujawai kuzaa wala kutaga.

Shukrani kwa matusi yako, uongezewe ulipoyapunguza.
 
Break the matrix Bro
Matrix gani nini hujaelewa kasema Mwanaume kutoboa TikTok ni mtiti labda ungekua Mwanamke labda km upo tayari kujidhalilisha km yule fyatu anaecheza na simu toy isiyo na mawasiliano alafu habadirishi nguo
 
Screenshot malipo yako kutoka TikTok acha maneno mengi
 
Em
Naomba elimu ya kitu hapo, hivi yuotube nao hawahitaji video za ukubwa fulani ili uwe unapatikana kiurahisi?

Mfano google wao wanataka article ya maneno almost 1500 ili uweze kupatikana kwenye search yao haraka.

Ila wasi wasi wangu kwa huyu mdau ni je ataweza kuwa na video quality ya kufanya mtu aangalie video zake?, angeweza ningemwambia afanye kama podcast ila mtaji hapo simuoni sana
 
Matrix gani nini hujaelewa kasema Mwanaume kutoboa TikTok ni mtiti labda ungekua Mwanamke labda km upo tayari kujidhalilisha km yule fyatu anaecheza na simu toy isiyo na mawasiliano alafu habadirishi nguo
Yeye kanielewa kwanini nimemwambia hivyo ndio maana ameishia kucheka.

Sasa wewe haujaelewa, sababu una upeo mdogo wa mambo umeamua kudakia juu juu.

Mkuu hivi wewe ni hopeless kiasi hichi cha kutokumfahamu hata Andrew Tate sio bure unabishabisha hovyo.

Ungekuwa unamfahamu Tate usingeshangaa why nimesema break the matrix and real you should Mkuu.
 
video youtube lazma iwe na quality nzuri na ni vyema kama ina dakika 10+
 
yuko vizur jama
 
video youtube lazma iwe na quality nzuri na ni vyema kama ina dakika 10+
wasi wasi wangu ndio upo hapa sana, maana anaweza akawa na content nzuri ila quality ikamfanya asiaminike au hata asiangaliwe kabisa na wadau.

Maana kuna mtu video ikishakuwa na mchele mchele tu ana skip chapu, mimi mmoja wao.

Ila akiwa anajiweza nadhani ni sehemu nzuri, maana hatakuwa na ulazima wa kwenda live so ataweza kupangilia vizuri contents zake pia.


Ni yeye tu sasa
 
Yeahswala huwa ni aina ya maaada mtu anaenda nayo na analenga kina nani
 
Bora kwenda kuvua samaki kwenye kingo za fukwe hutoki bure. Kupata followers wengi lazima uwe mbunifu sana la sivyo utatweza utu kwa kipande cha pesa
 
Hahaha kumbe unaongelea the real tate ambae alisema kama wew ni maskini na unatoka tanzania ni sawa tu
Hahah, huyo huyo Mkuu.
Nimemuona mdau hapo juu anatumia jina lake nimecheka kinoma.

Nikiona mtu anamfahamu Andrew Tate naamini yupo active kujifunza mambo ya hii dunia yanavyoenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…