Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,038
Huyu jamaa kwa haraka anahitaji mtaji usiopungua 500k kama kweli anataka kuingia kwenye iyo biashara na hapo anatakiwa awe na simu kali yenye uwezo wa kamera na speed yakueleweka.ba
ndo la 10k π Mademu wanaweza ngumu kwa wanaume anae jitafuta Wifi kwa mwenz ni 70k
Hapo Bando anadandia WiFi ya bure usiku saa 7 baada ya wenyewe kulala alafu unamwambia nini anaweza kuchoma 70k perweek kwa ajili ya Bando tu, sio rahisi km mnavyosema ingekua ni rahisi wabongo wanavyojua kukumbatia fursa za JATU na Kylanda wangekua wamejaa TikTok wote wangekua matiktoker, anza na mojaMkuu, wewe haujui Tiktok na sidhani kama hata una Acc tiktok. Wewe unaongelea nadharia tu za kijima.
Nipo Tiktok na naifuatilia sana Tiktok japo kwa shughuli zangu tofauti ila kwa Tiktoker yoyote akisoma nilichoandika anajua ninachomaanisha.
Wabongo wapo nyuma sana Tiktok sababu ya uoga usio na maana na pia wabongo hawa gift na wanao gift ni wachache sana na wana gift kwenye live za hao wakenya unaowashangaa ili wapate promo na kuongeza followers.
Jielimishe Mkuu mambo ni possible sana, na haimaanishi kuwa kijana ni mvivu au hataki kazi ngumu. Dunia imebadilika.
Jasho unatakiwa utoke gym tu sio kazini Mkuu π
Huyu jamaa kwa haraka anahitaji mtaji usiopungua 500k kama kweli anataka kuingia kwenye iyo biashara na hapo anatakiwa awe na simu kali yenye uwezo wa kamera na speed yakueleweka.
Then aanze michakato yake kulingana na set up atakayochagua.
Asifikiri ni biashara ya kuanza bure a.k.a mtaji idea π ataumia sana na hatafanikiwa. ukweli mcn
cakcaclifmfcffHuyu jamaa kwa haraka anahitaji mtaji usiopungua 500k kama kweli anataka kuingia kwenye iyo biashara na hapo anatakiwa awe na simu kali yenye uwezo wa kamera na speed yakueleweka.
Then aanze michakato yake kulingana na set up atakayochagua.
Asifikiri ni biashara ya kuanza bure a.k.a mtaji idea π ataumia sana na hatafanikiwa. ukweli mchungu
Alafu unatoka huko kwenu mbwinde unasema ni rahisi unawajua wabongo vizuri kwenye vitu rahisi ushawahi kuona wanacheza mbali?Huyu jamaa kwa haraka anahitaji mtaji usiopungua 500k kama kweli anataka kuingia kwenye iyo biashara na hapo anatakiwa awe na simu kali yenye uwezo wa kamera na speed yakueleweka.
Then aanze michakato yake kulingana na set up atakayochagua.
Asifikiri ni biashara ya kuanza bure a.k.a mtaji idea π ataumia sana na hatafanikiwa. ukweli mchungu
Mimi sio zombi najuaAcha ubishi basi Mkuu, au wewe Muha nini Mkuu? (Joke)
yani unapo anza na kujenga brandy hutakiwi kuwaza kuingza ela you have to invest more moreHuyu jamaa kwa haraka anahitaji mtaji usiopungua 500k kama kweli anataka kuingia kwenye iyo biashara na hapo anatakiwa awe na simu kali yenye uwezo wa kamera na speed yakueleweka.
Then aanze michakato yake kulingana na set up atakayochagua.
Asifikiri ni biashara ya kuanza bure a.k.a mtaji idea π ataumia sana na hatafanikiwa. ukweli mchungu
Ni rahisi kweli, sasa wewe unataka kufanya biashara bila mtaji wa fedha?, kuwa rahisi kupata haimaanishi ni bure.Alafu unatoka huko kwenu mbwinde unasema ni rahisi unawajua wabongo vizuri kwenye vitu rahisi ushawahi kuona wanacheza mbali?
Kabisa Mkuu, tatizo wabongo wanataka mambo ya hisani sana, hawataki kuinvest hata kidogo. Sasa mtu unajiuliza inakuwaje mtu anataka pesa halafu hataki kutumia pesa, unakosa majibu.yani unapo anza na kujenga brandy hutakiwi kuwaza kuingza ela you have to invest more more
tatizo wabongo elimu hamna kbsa mtu hajiuliz wale wakina gym shark wana pataje ela
na yale makampun ya vyakula or tech yanawekeza kwa vigezo gan kwa content creator
bora afanye Youtube japo nako inabid mfukon awe vyema kama ni jama wa kijiweni ajisake kwanza
Mkuu unajua au unaongelea stori?, Tiktok ni rahisi sana muhimu ni muda na bando lake tu.
Kupata followers wa uhakika anabidi aende kwenye Acc za watu kama Kufuli la bank au Mwalimu wa Tiktok alafu kwa hawa wakenya aende kutafuta na kuwasoma followers wanao gift sasa yeye aende.wafollow then awasumbue wamfollow ila sasa awasumbue kimkakati ili asionekane msumbufu.
Ni rahisi sana na narudia ni rahisi sana, ushuhuda ninao wakutosha. So afanye kama kazi na sio kujaribu
Screenshot malipo yako kutoka TikTok usituletee masuala ya motivation speaker hatutaki utumotiveti na screenshot za malipo uliyoyapata mwezi huu umelipwa kiasi gan mwezi huu na hao TikTok km hujawahi hata kulipwa Bora upige kimya tuNi rahisi kweli, sasa wewe unataka kufanya biashara bila mtaji wa fedha?, kuwa rahisi kupata haimaanishi ni bure.
Ila kusema haiwezekani au ni ngumu ni uongo mkubwa.
Awe na mtaji wa kuanzia plus ajue tu kuwa sio swala la usiku mmoja hapo ategemee kuona matunda kuanzia March 2024,tena kama akijitahidi akapata followere 1k ili aende live Tiktok na hapo bado atahitaji kusoma sana soko na trend za fans wake.
Hiyo ni kazi rahisi kwa mtu aliye serious na hiyo biashara, ni rahisi sababu sio habari ya kubahatisha ni kitu ukifikia vigezo unaona returns sasa kwanini usijitahidi ufikie vigezo?
Hata mimi mwanzo nilikua naona ni kitu kisichowezekana hasa nikilinganisha na Forex. Ila baada ya kuona mtu katumiwa gift na mimi binafsi nikamshauri why asitumie Visa ya voda maana alikuwa hajui aitoe vipi nilipoona kafanikiwa ikanifanya nianze kuifuatilia Tiktok vizuri.Una experience gani kwenye ilo? Maana hata ukienda forex kuna watu wakikuonesha withdrawal zao unaweza jidharau, but how sure βre you kwenye ilo kua ni simple na inalipa?
Embu nioneshe wapi nimesema ninaifanya hiyo biashara?. Alafu tuendelee.Screenshot malipo yako kutoka TikTok usituletee masuala ya motivation speaker hatutaki utumotiveti na screenshot za malipo uliyoyapata mwezi huu umelipwa kiasi gan mwezi huu na hao TikTok km hujawahi hata kulipwa Bora upige kimya tu
Sasa unatetea kitu cha kusoma Google hujaingia hata field ukaja na vivid evidence unatuandikia mashudu hapa unahisi Sisi wote mazombiEmbu nioneshe wapi nimesema ninaifanya hiyo biashara?. Alafu tuendelee.
Kama haujui uliza, usione soo kuelimishwa.
Utaolewa mara ya pili shauriyako,Mi nimechoka kuelekeza bhana π kuna watu wagumu sana kusikia asha shiba ubwabwa wa shemeji anakuja kubishana na hana hoja
Hata mimi mwanzo nilikua naona ni kitu kisichowezekana hasa nikilinganisha na Forex. Ila baada ya kuona mtu katumiwa gift na mimi binafsi nikamshauri why asitumie Visa ya voda maana alikuwa hajui aitoe vipi nilipoona kafanikiwa ikanifanya nianze kuifuatilia Tiktok vizuri.
Hakuwa amepata hela nyingi ni kama US$ 8 hivi, na ni baada ya kuwa live japo na yeye anakesha sana mtandaoni hasa Tiktok huko.
Ni hela isiyo na longolongo kama utakuwa na hao followers wakukutunuku.
Tatizo bongo unaweza ukakuta mtu ana followers hata 20k ila hawezi kupata hela hata akienda live sababu 99% ya followers wake ni choka mbaya na wanafunzi wa vyuo wanaopenda trend na hawana hela ya kununua hizo gift ili wawatunuku.
Kuw na followers wengi haimaanishi ndio kutengeneza hela bali kuwa na followers wanaoingia kwenye live yako na wenye interest na content zako na wenye uwezo wakununua hizo gift ndio kunaweza kukupa mwanga wa kupata hayo maokoto.
Sio biashara ya kuweza kutengeneza hela ghafla hapana, inahitaji dedication sio kidogo na ukiweza kutengeneza US$ 20 kwa siku wewe ni mwamba kweli kweli na ukijichunguza utakuta umetumia bando la hata Tsh.10k labda uwe kwenye free WiFi
Mimi na wewe nani anayesoma google?, Ningewajulia wapi watu kama Kufuli la bank au Mwalimu wa Tiktok? omba kuelimishwa acha kukaza kichwa Mkuu haikusaidii.Sasa unatetea kitu cha kusoma Google hujaingia hata field ukaja na vivid evidence unatuandikia mashudu hapa unahisi Sisi wote mazombi
Ukute ni jobless na analeta kiburi cha kijinga.Mi nimechoka kuelekeza bhana π kuna watu wagumu sana kusikia asha shiba ubwabwa wa shemeji anakuja kubishana na hana hoja