Iliasa
Member
- Aug 4, 2015
- 63
- 35
Wakuu nashukuru kwa mada mbalimbali humu jamvin kiukweli nimepata faida nyingi tangu nijiunge hapa. na sasa nimekuwa mkulima mzuri wa zao la tikiti maji ,nimefanya hivi zaidi ya mara mbili na msaada mkubwa mara nyingi nimekuwa nikiupata hapa jamvini
Hivi karbuni nataraji kutoa tikiti ifikapo mwezi wa nane mwishoni. changamoto pekee iliyobaki na nimekuwa nikipambana nayo mara zote ni soko la uhakika. hivyo wadau mwenye taarifa na masoko mazuri ya zao hili anijuze. nimeleta kwenu mapema ili iwe rahisi kujipanga kabla matunda hayajawiva.
Shukrani zangu kwenu nyooote