Tigo

Tigo

Jayckizle

New Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Hi guys!! mi mkali ila humu nimeingia karibuni, skia!! kama ulikuwa unatumia modem ya tigo free jaribu tena kutumia na ile lyn ambayo ulikuwa unasurf bure!! mi nasurf bure sema spidi ni ndogo nahic wamerudisha apn zao za zaman sema wamepunguza bandwidth (speed) yao. 😛oa
 
Heh!Copy that jay,karibu sana JF nyumbani kwa wakali wenzako!Yaani nilijua tu nkaamua niihifadhi,naiweka sasa hiviiiiii!
Nitarudi na report.
 
Hamna kitu kwangu dah kutiana presha hv LMAO dah poa tu
 
Dah!!!!!!Patupuuuu!Yangu haiungi kabisa!Well...labda ni za upendeleo.
 
Mi nimwahama aisee, zantel nao wameanza kuniboa sasa
 
Kwangu imekubali but speed ni ndogo sana, download speed yake inacheza kwenye 12kbps hainifai hata kidogo
 
Kwangu imekubali but speed ni ndogo sana, download speed yake inacheza kwenye 12kbps hainifai hata kidogo
Duuh kumbe hivi iyo line yako ulishawahi kutumia katika mawasiliano yani ulishawahi kuweka salio umo na ukaitumia kama line ya kawaida zilivokata muda ule au never used it on 4ne?
 
Hapana mkuu sijawai weka salio, ziliposhtukiwa tu niliiweka pasipo kuitumia hadi nilipo itumia jana.
 
yah kama ulikua na line ya bure tigo then wakakata now zimerudi, ila kama kipindi kile zilipokata uliendelea kuitumia haitarudi bure,

Tahadhari line za bure tigo internet zinapatikana kwa sh 500 tu so usje ukapigwa changa la macho,
 
yah kama ulikua na line ya bure tigo then wakakata now zimerudi, ila kama kipindi kile zilipokata uliendelea kuitumia haitarudi bure,

Tahadhari line za bure tigo internet zinapatikana kwa sh 500 tu so usje ukapigwa changa la macho,
duh wapi uko mwana nje nzkombe za kutosha? Vp spd bdo wanabana au?
 
mimi imezingua kwangu..........ila ile ya voda-bomba30 15300 bado ina connect ila speed yake ni zero hata website haifungui
 
kwa faida tu line za bure za tigo zimetokea kama coincidence tu maana kwanza zilichakachuliwa ili zitumike bila kusajili, yaani ununue line then umpigie mtu umtukane weee alafu akienda kukushtaki anaambiwa line haijasajiliwa, so ukiona mahala popote panauzwa line za tigo za kupiga bila kusajili ujue zinaingia na net bure, bei yake 500 au 1000 tu.
 
Chief una uhakika na usemacho?Kwahiyo wewe yako uliinunua 1000tshs tu na ikawa inatumia net bure?
 
Back
Top Bottom