Tigo

EvJ

Senior Member
May 3, 2011
194
25
Hivi wanajamvi ukiwa unataka kaz ya customer care tigo,unapeleka applctn wap?
 
Kwani hawana HR au call center ipo chini ya kampuni binafsi nyingine kwa mkataba.?
 
kwa customer care ya tigo unapeleka application kwenye kampuni inaitwa infinit communication ipo morocco ila mpaka watangaze nafasi
 
  • Thanks
Reactions: EvJ
kwa customer care ya tigo unapeleka application kwenye kampuni inaitwa infinit communication ipo morocco ila mpaka watangaze nafasi

Mpaka watangaze?! Hapana bana!!! fight upate tempo pale Infinity. mara nyingi kama sio zote tempo zao zinakuwa ni data entry jobs ambazo inakuwa ku-key tigo customers registration forms. na mara nyingi tigo wanapohitaji wafanyakazi baadi wanachukua toka pale infinity especially kwa aina kama unayotaka!!!
 
  • Thanks
Reactions: EvJ

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom