halotel wangefanya hivyo nao. niko hapa natumia mtandao wao, ni bom tu, niliondoka voda sasa nahisi nitarudi tena voda kwasababu wako polepole sana.nimenunua kifurushi cha wiki lakini hawanifurahishi kabisa.
Halotel kwa 1500 unapata GB18 kwa siku mbili kuanzia saa tano usiku hadi saa kumi namoja alfajiri. Halafu full speed. Hadi sasa hakuna mtandao ulio vizuri kama Halotel. Jaribu huta juta.
Halotel ndo Mpango wa mjni