Tigo wanatoa internet bure kupitia internet.org

Tigo wanatoa internet bure kupitia internet.org

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
397
Reaction score
201
Tigo na Facebook kwa hili mnastahili hongera sana. Kupitia internet.org unaweza kutumia internet BURE kwa baadhi ya website kama BBC, Mwananchi, wikipedia etc.

How do I get Internet.org?

You can access Internet.org on your mobile phone. To use Internet.org:

  • Android: Download the Internet.org app from the Play Store. Alternatively, if you have the Facebook app, you can open your app, tap
    851582_288809554594984_743613614_n.png
    and tap Internet.org.
  • Facebook for Every Phone: Open your Facebook app and tap
    10333113_271939096343059_554906772_n.jpg
    .
  • Mobile web browser: Visit internet.org.
Note: Internet.org is only available to Tigo customers.

Which websites can I access with Internet.org?

With Internet.org, you can access these websites using free data:
News and weather

Sports

Health

Jobs and classifieds

Education and information

Communication

Keep in mind that if you go to a website that's not partnered with Internet.org, standard data charges will apply.

https://m.facebook.com/help/internet.org?locale=en_US
 
inapingwa sana hii issue kwa nchi zilizoendelea, haki inatakiwa iwe sawa kwa site zote. facebook wanataka watu wote watumie mtandao wao
 
Tigo ujinga mtupu. Karibia siku nne sasa huduma yao mbovu. Mawasiliano yanakatika katika kichizi. No data no voice hata kuingiza data au kijua salio haiwezekani. Halafu hawawafidii chochote wateja wao. Sijui tigo wanataka kufa!
 
Yaani hauwezi amini jana nilikua na Mtu anatumia Tigo.network kwenye simu yake inasoma H+ lkn picha ya whatsapp inachukua dakika Tano picha ku download yaani kutuma message whatsaap hamna kitu kabisa yaani mara mia kutumia EDGE ya Voda
Hawa jamaa hawajielewi nahisi sababu haiwezekani kila mtu alalamikie Tigo

Hawa jamaa niliondokana na utumwa wao kitambo sana maana kila siku wanatuma tu mi mesage ya Kuomba Samahani sijui Kuna matatizo ya Kiufundi sijui wameajiri Vimeo humo kwenye kampuni au ndo ni mtandao wa kufanyia mazoezi hata sielewi kabisa
 
Wanajua kutoa tu vifurushi vinono lakini sawa na kumpa nyama iliyonona mtoto wa miezi 2. Itamsaidia nini?
 
Yaani hauwezi amini jana nilikua na Mtu anatumia Tigo.network kwenye simu yake inasoma H+ lkn picha ya whatsapp inachukua dakika Tano picha ku download yaani kutuma message whatsaap hamna kitu kabisa yaani mara mia kutumia EDGE ya Voda
Hawa jamaa hawajielewi nahisi sababu haiwezekani kila mtu alalamikie Tigo

Hawa jamaa niliondokana na utumwa wao kitambo sana maana kila siku wanatuma tu mi mesage ya Kuomba Samahani sijui Kuna matatizo ya Kiufundi sijui wameajiri Vimeo humo kwenye kampuni au ndo ni mtandao wa kufanyia mazoezi hata sielewi kabisa

Hahhahaha,dah !!!
 
Yaani katika site za maana wameona facebook. Ujinga mtupu
 
yani awa jamaa siwaelewi. najuta kuifanya namba yangu ya tigo my default. ingewezekana ningeitupa tu. nanunua kifurushi cha one gb ila mpk muda wa ku expire unafika nimeshindwa kudownload ata mb200. kwenye simy inaonesha 3g au H+ ila hakuna mishale ya incoming au outgoing data. ovyo
 
maeneo mengi h+ ipo slow kuliko h, japo ilitakiwa iwe na speed zaidi.

tumia kifaa cha h tupu au eka rom kama omni zenye uwezo wa kuforce simu kukaa h bila kuwa h+
 
Back
Top Bottom