TIGO: Wanaomiliki simu feki kupewa nyingine bure

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,691
25,827
Habari wanabodi.

Kampuni ya Tigo Tanzania inakualika wewe mtanzania unayemiliki simu feki kufika katika duka lolote la Tigo hapo utabadilisha simu yako feki na kupatiwa halisi/original bureee aina ya Itel 21100 pamoja na ofa za dakika na meseji pamoja na data bila kulipa chochote.

Wahi sasa.

Chanzo: Clouds Fm
 
Chanzo : Clouds Fm
 
hakuna cha bure u pay elfu 22 yale yale ya whatsup ya bure
 
KUMBE HAKUNA CHA BURE WANACHEEZESHA MCHEZO KIAINA ILI WAPATE WATEJA
AISEEE KWELI MAKAMPUNI YA ISIMU KIBOKO KWA KWELI
 
Hicho kifurushi cha 22000 kinakupa dakika ngapi,mb na SMS ngapi?
1464943864291.jpg
1464943882689.jpg
 
Habari wanabodi.

Kampuni ya Tigo Tanzania inakualika wewe mtanzania unayemiliki simu feki kufika katika duka lolote la Tigo hapo utabadilisha simu yako feki na kupatiwa halisi/original bureee aina ya Itel 21100 pamoja na ofa za dakika na meseji pamoja na data bila kulipa chochote.

Wahi sasa.

Chanzo : Clouds Fm

Sio bure mkuu, unalipia elfu 22,000
 
Back
Top Bottom