Tigo wana tuibia kwenye tigo rusha ?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Ni kweli kunatofauti kati ya TIGO RUSHA na TIGO YA KAWAIDA YA KUKWARUZA kwenye matumiz? Nimejaribu fanya kauchunguzi kidogo nimeona kuna tofauti. Tigo ya kurushiwa inaisha haraka unapo ongea, tofauti na tigo ya ku-kwangu . Tufahamishane wadau
 
Hamia zaini mi na mzee chambuso tushahamia kitambo!!!hapa nina jazba na hawa tigo coz nilikuwa tight nkakopa asa mtu akanitumia elf mbili!cjakaa sawa eti cm inanambia salio lako ni chini ya hamsini nimekaribia kuvunja hii simu ya kichina,ha! Cijui nihamie ttcl?mungu wangu
 
sasa ndugu, ulikopa umekatwa mkopo huo unalalamika nini?
 
Ni kweli kunatofauti kati ya TIGO RUSHA na TIGO YA KAWAIDA YA KUKWARUZA kwenye matumiz? Nimejaribu fanya kauchunguzi kidogo nimeona kuna tofauti. Tigo ya kurushiwa inaisha haraka unapo ongea, tofauti na tigo ya ku-kwangu . Tufahamishane wadau

tofauti kwa kiwango gani. Hebu tuletee data kamili.
 
kwa hiyo mzee ukiweka salio la kurusha simu inajua hili lakurushwa hili...teh teh,naona siku hizi imani imekwisha kabisa
 
Nilisikia hizi tetesi nikaamua kujaribu. Thibitisha kwa hili halafu uje utuambie.
1. Nunua tigo rusha hata kwa sh. 500. Ongea yote kwenda tigo na angalia umetumia muda gani.
2 Nunua vocha, kwangua na ingiza kwenye simu, piga namba ile ile uone muda uliotumia.
3. Tafuta tofauti, hapo utakuwa na jibu lako.
 
Vipi ulipojaribu ulipata dakika ngapi katika case ya kwanza na ngapi katika case ya pili? Just for comparison purposes!
 
Back
Top Bottom