Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Airtel nao wameanza uwizi sasa ivi huwezi kuangalia mb zimebaki ngapi sasa sijui ni cm yangu tuu au ni wote wanao jiunga na vocha za uni
Fatilia vizuri itakuwa ipo sehemu ya kuangalia mb,mimi natumia laini ya chuo naangalia mb vizuri.
 
Back
Top Bottom