Tigo waja na wizi mpya kwa wateja

Tigo waja na wizi mpya kwa wateja

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,158
Reaction score
1,450
Habari wakuu ,

Leo nimeenda kurenew line yangu kwenye ofisi za tigo tawi la Mbagala Zakhiem lakini nliyoyakuta ni majanga. Eti kurenew line sasa hivi ni shilingi 5000.

Nilipouliza sababu ya gharama kuwa kubwa wakaniambia hizo line ni special "backup line" yaani hata ukiipoteza unarudishiwa na majina,ofcoz nkaona ni jambo la zuri sana.

Lakini yule muhudumu akaongeza kuna makato ya 250 kila mwezi na hapa ndio nkashtuka maana kila nlipowauliza mantiki ya hayo makato hawakuwa na majibu ya kueleweka.

Nawasilisha wadau na kama Tigo wanaweza toa maelezo itakuwa safi.
 
Hiyo ki2 nilikutana nayo pale buguruni lkn ilikua 2000 vilevile sio lazima kama hutaki zipo zile za kawaida
 
Hiyo ki2 nilikutana nayo pale buguruni lkn ilikua 2000 vilevile sio lazima kama hutaki zipo zile za kawaida

Mbagala wanadai line za zamani zmeisha ,cjui wamezficha?
 
Kama ni kweli basi kwa umuhim wa line,ni bei rahisi
kwa sie tuliopoteza sim na majina yake tunajua umuhim wake.
we mtu unampigia sim unamwambia akurejeshee line tu na laki moja unamlipa ili upate majina bado mtu anasepa.

Wazo zuri sana hili
 
Mpemba unatisha, yaani unamhonga mwizi laki akurudishie lain. Kesho nitakutafuta nikuingize mjini simu zako zote mbili nipate mtaji wa kugombea udiwani kwa tiketi ya CCM. By the way kuna jinsi ya kusevu namba kwenye smart phone kiasi kwamba hata wakiiba simu au ukasafiri kwenda Japan bila simu yako, ukizitaka unaziita tu na zinakuja bila problem. kama huijui ni pm nikupe best.
 
Ukiona chenga badili mtandao siyo kulia lia humu
 
Hiyo ndo CCM, mtalia sana msipokubali mabadiliko
 
Hahaaa mpwa ...ntaruditena ngoja nkassali
 
Mpemba unatisha, yaani unamhonga mwizi laki akurudishie lain. Kesho nitakutafuta nikuingize mjini simu zako zote mbili nipate mtaji wa kugombea udiwani kwa tiketi ya CCM. By the way kuna jinsi ya kusevu namba kwenye smart phone kiasi kwamba hata wakiiba simu au ukasafiri kwenda Japan bila simu yako, ukizitaka unaziita tu na zinakuja bila problem. kama huijui ni pm nikupe best.

Unasave kwny e-mail yako(google account)!!
 
Kama ni kweli basi kwa umuhim wa line,ni bei rahisi
kwa sie tuliopoteza sim na majina yake tunajua umuhim wake.
we mtu unampigia sim unamwambia akurejeshee line tu na laki moja unamlipa ili upate majina bado mtu anasepa.

Wazo zuri sana hili

Siku hizi una backup contacts zako online kama unatumia smartphone.
Ukibadili simu au ukipoteza unanunua mpya unaingiza emails zako, mambo yanahirudi kama kawa.
 
tigo wako vizuri siku hizi na mtandao wao ni wa kisasa zaidi 4g. wizi uko voda acheni mchezo
 
Kama ulikubali mwenyewe kutoa hela kwann unalialia hapa,hiyo njia wanayotumia tigo kurudisha namba zako zilizopotea ni nzur hata kama ina gharama.
 
Back
Top Bottom