Tangu jana nimejikuta nikibaguliwa kwenye mtandao huu wa tigo kwa kunipandishia gharama za muda wa vifurushi tofauti na wenzangu!
Vifurushi zamani vilikuwa vinaanzia 450 kuendelea lakini tangu juzi kifurushi cha chini tigo-tigo ni kuanzia 750.
Wakimaanisha kuwa kama nataka kuwasiliana ninunue vocha kuanzia 1000/= Tsh.
Nimewapigia wananijibu kua inatokana na matumizi yangu wakati mimi vocha na weka kwa wiki si zaidi ya mara tatu tena za 500!
Tena wakaongeza kua kama ninamalalamiko niende makao makuu yao!!
Hii imekua kwangu ni maajabu familia yangu na marafiki zangu wote vifurushi vyao bei ni ile ile ya zamani mimi tu ndo wameniona Dangote!
HUU NI UONEVU JAMANI!

Tigo ni wezi na wana zawadi zao za wizi.Wanakupa gb 5 halafu zinaisha baada ya dak 5.ni wezi-wakubwa.Bora waseme hamna zawadi sie sio watoto na wala hatuishi kwa zawadi za kihindi tena mkome na vizawadi vyenu uchwara!!Mimi kwanza hawataki kunikopesha kifurushi, Pili nikiweka vocha ya buku niunge kifurushi cha 999 naambiwa salio halitoshi hata kama nina 1200.
Kwahii na sie tuliohuku simiyu tuje makao makuu!!!!???
Hawa wajinga utawaweza hawa...
Niliwahi poteza simu nikahangaika ku-renew line ya airtel ni fasta tu na huduma nikaendelea pata ila tigo nikahangaika mwisho wa siku wakaniambia niende Makao Makuu wkt huo niko Arusha....
Utafikiri watanirudishia nauli....
Mimi kwanza hawataki kunikopesha kifurushi, Pili nikiweka vocha ya buku niunge kifurushi cha 999 naambiwa salio halitoshi hata kama nina 1200.