Modem mpya za tigo airtel na safaricom permanetly unlocked.......kwisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem mpya za tigo airtel na safaricom permanetly unlocked.......kwisha

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paje, Jun 18, 2012.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  WAKUU HABARI
  nimepata solution ya ku unlock hizi modem mpya za tigo E153 na zile za safaricom ya kenya na hizi airtel mpya za E173 ambazo hata temporary unlock zilikuwa hazitaki. sasa imepatikana solution.
  tukiwachia mbali DC unlocker ambaye ana unlock permanetly kwa bei ya ghali kidogo 7 euro. (karibu buku 15) pia kuna website nyengine inafanya hiyo online unlocking kwa bei nafuu sana.
  njia nyengine ni kutumia flashing box ya octopus. kama unamjua fundi simu mwenye box ya octopus kwa ajili ya ku unlock au kuflash inakuwa ni bure kabisa.(bila ya malipo)
  kupata habari kamili soma hapa Octopus Suite v1.0.6 - added Write Firmware for Huawei E153 and E173 with new security type.
  na kama unataka kudowwnload angalia hapa http://octopusbox.com/files/softs/install_octopus_suite_1.0.7.exe .
  hizi modem mpya za airtel huwawei E173 zinaflashiwa na kuwekwa firmware nyengine ambaye tayari imekuwa unlocked. process yenyewe inachukua few seconds.......
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dah!! Thanks Mkuu kwa maufundi
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ngoja nifuatilie lakini hizo octopus box ndio tunapata wapi?

   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  paje umetest?
   
 5. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yep for sure. nina fundi simu mshkaji wangu. amei flash kirahisi mno hii modem mpya ya huawei e173 za airtel. na ndio anayotumia yeye kuingilia net ya zantel.
   
 6. k

  khalids19 Senior Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  baba hii ya kuhitaji BoX ilikuwa ipo muda sasa watu wanafanya kariakoo 20000! mimi nilijua umetupatia maujanja bure kabisa bila ya kuhitaji boxi
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna mshakaji anafanya kwa elfu kumi sio 20. anatumia online unlocking website lakini hataki kusema website gani. waulize hao wa kariakoo wanatumia website gani?
   
 8. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60

  paje usiwe unakuja na solutions ambazo hujawahi kufanyia majaribio.
  octopusy has nothing to do na ulichoandika hapa.
  binafsi ninayo.
  hakuna kitu kama hicho?
  niamini ndugu yangu. solution ipo ila octopusy not yet. nimewatumia full damp ila wameshindwa.
  jaribu kuleta habari uliyofanyia majaribio na si vinginevyo.
   
 9. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  amini maneno yangu. hizi zinazoanzia na imei 86..... octopasy hawawezi. fulstop! kama unabisha lets start a thread, au hapa hapa
   
 10. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  i can do it for free ila uwe mwaminifu.
   
 11. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,108
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  sasa bwana calvin naomba utuhurumie mkuu hv had saiz nmeifungia hio modem kwenye trunker plz naomba utupe code
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  nna modem ya huawei e153-2u ya airtel nili fanikiwa ku update dashboard ila firmware ikagoma ikaandika its incompatible. firmware na dashboard nilipata hapa >>> Huawei E153 | huaweifirmware.blogspot.com kama kuna mtu anajua source ingine ya kupata izo vitu atupie hapo chini
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,507
  Trophy Points: 280
  Asante kwa maujanja. Ila imetokea kwangu binafsi sijawahi fanya haya maujanja ya moderm, kama unalipa 30,000 na kupewa free access ya miezi 6!, maujanja ya nini?!.

  Nimeinunu hiyo ya offer japo nimeambiwa ni miezi 6, within two weeks, bundle yao ya offer ilikwisha. Unarecharge kwa 150, unapewa 50 MB au Tafadhali chagua kati ya :- 25MB, 150MB, 250MB, 500MB, 1GB, 2GB, 3GB, 5GB, 8GB, 15GB, 20GB, INTERNET, SIKU, SAA, WIKI, MWEZI ama SALIO kwenda 15444,au piga *154*44#.Asante. Maujanja ya nini?.
   
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tunazungumzia modem za airtel za huawei e173 za rangi nyeupe na chata la airtel jekundu. nipe mda nitakutumia step by step screenshot kuanzia flashing hadi unlocked state. kuwa mstahamilivu,
  kuhusu imei inaanza na ngapi sina hakika lakini naomba uthibitishe zinatumia firmware number gani? isiwe tunazungumzia vitu viwili tofauti.
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo hii link ya software ya kudownload uliyotoa ni mpaka uwe na hiyo box au!?
   
 16. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yeah unahitaji unlock box kuflash with new firmware.
   
 17. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hizi nyeupe sijajaribu maana sinazo hizo. ila nimejaribu tigo hizi mpya na airtel zile nyekundu. imei inaanzia 86.... firmware ofcos sio problem kwani unapoflash unabadilisha firmware ili uweze kufanya patch unlock. ila ikiwa na imei inayoanzia 86... inakataaa.

  jaribu za tigo halafu unijibu error unayopata au mafanikio.

  check log


  IMEI: 869604-00-633760-3
  Connecting to server...OK
  Username: New_test_user
  Authorizing...OK
  Octopus smart card is present.
  Checking smart card...OK
  Checking balance...OK
  Checking operation...OK
  Checking firmware version...OK

  Switching to emergency mode...OK
  Sending loader...Failed!

  product supporter wakajibu hivi: Unfortunately, You have unsupported modem version.
   
 18. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mkuu rep power yako imekuaje?
  REP.JPG
   
 19. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umeona mkuu, modem iliyoshindikana hata kwa temporary unlock ni ya huawei E173 rangi nyeupe na chata la airtel la red. kama nilivyokwambia tutakuwa tunaongea modem tofauti.
   
 20. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu mambo vipi? Ebwana nimejaribu ku-unlock huawei e173 from airtel kwa kutumia software ya huawei modem unlocker v.5.7.7, imekubali temporary unlock.
   
Loading...