Kutumia modem mpya za tigo na za safari com

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Messages
1,192
Points
1,195

Paje

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2010
1,192 1,195
modem mpya za tigo zenye customized firmware pia na zile za safaricom za kenya. zimekuwa customized kiasi ya kukataa kufanya software update au ku-update firmware.
kuna walio wahi kuharibu modem zao kwa kulazimisha kuziupdate firmware zao.
hii hapa ni njia ya kuweza kuzitumia modem hizi kwa mtandao wowote bila ya kuingia risk ya kuharibu modem.
nimekutana na ka software kapya kanaitwa Huawei Modem Unlocker v5.8.1 by Bojs ambacho unakitumia ku unlock ijapokuwa ina unlock temporary na najua imewahi kupostiwa hiii ila version hii ni mpya na ina uwezo wa kudetect port namba yenyewe. kwa hiyo angalau inakupunguzia kazi. kazi yako itakuwa ni kuunlock, try one or two times. utaona inavyokubali.
pia unaweza kuongeza spidi ya modem yako kwa kutumia software hii.
View attachment Huawei Modem Unlock-5.81.rar
 

Forum statistics

Threads 1,356,238
Members 518,868
Posts 33,128,066
Top