Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
Kwahili Tigo wametisha. Bei ya Internet Tanzania inaanza kuwa ya bei ya chini. Kama Tigo wameweza kutoa 35 GB kwa 20,000 ipo Siku bei ya internet itakuwa chini zaidi.
wazingatie tu internet iwe ya uhakika na yenye speed nzuri.
Unlimited Speed Data Bundles | Tigo.co.tz
wazingatie tu internet iwe ya uhakika na yenye speed nzuri.
Unlimited Speed Data Bundles | Tigo.co.tz