Tigo Unlimited Speed

Tigo Unlimited Speed

Ya saa 5-11 ni 30GB kwa siku 3 ila hii bado sijaikubali sana speed yake kama howcome vile ila vifurushi vingine viko vizuri kiukweli. Ila kabla hujajiunga na kifurushi angalia network ya sehemu uliyopo iko vizuri? Kama haiko vizuri jiunge kifurushi kinachokidhi mahitaji yako.
 
Hiyo huduma ya usiku ni hadi kudownload. wanaita 3nights unatumia saa 5 usiku hadi saa 11.30GB hapo ni mwendo wa torrent tu kwa 1000
 
Tigo tamu jamani askwambie mtu, ukijaribu huta acha.
 
Back
Top Bottom