Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Tigo ndio zao mi kuna kipindi waliniunganisha na huduma ya clouds Fiesta wakawa wananitumia message za clouds huku wanakata hela wakati sijawahi kujiunga ilibidi niwandikie kwenye wall yao Facebook wakaniambia namna ya kujitoa ila wanaboa sana kwa huo wizi mtu hujajiunga then wanakuunganisha na huduma zao ili wakukate hela.